babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,422
- 21,123
Nyie mnazungumzia hao vibaka,wababe walikua mbeya miaka ya 80 kina jombi, ambangile,tunyande,chande,semeni,jairo hao kutoka nzovwe tu hujaenda mabatini au mwanjelwa au mbalizi
Nimemkumbuka marehemu mikidadi mwakadinda duh jamaa alipigwa kisu na wenzake maeneo ya kijiweni na kufa kisa mgawo wa mali ya wizi
Omary kalinga amefariki mwezi wa kwanza 2014.Alikupo Shetani, Kalinga Alie Aga Umasikini, Kipagatilile Jambazi,mzee Ubwa, Mwambungu Askari Police.
Mzee Malinga alikuwa balaa.....!!
Mzee Malinga alikufa kwa kihoro baada ya wale wasichana wazuri kumchukua mama Yao na kupotelea Dar,sa si unajua ukiishi na mke kisha akukimbie Ile inavyokuwa,akafa.....baada ya kufa tu na mama akaludi Iringa na kijana wake Yule mkubwa.....
Mzee Malinga yule muuza ulanzi??alikuwa na watoto wa kike wazuri sana??hivi yupo wapi huyu Mzee??