Heci
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 3,684
- 6,409
Simba wa Tunduru njoo huku
Ninaongoza ibada hapa kwenye uwanja wa miujiza, nitaileta baada ya ibada
Mzee bado unaongoza ibada mpaka leo
Mzee bado unaongoza ibada mpaka leo
Vibaya mno, watu wanaangushwa na mapepo, ila wote ni choka mbaya, matajiri hawaanguki, hata Kama majumbani kwao kuna misukule