Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 70,958
- 93,939
Suzan Mongi nilimpenda sana sana
Alianza kwa kuitwa Suzan Lukindo kabla ya kuolewa na bwana Mongi...
Alikuwa mdada mrembo haswa wakati huo...
Suzan Mongi nilimpenda sana sana
Sunset Beach mkuu...
Duh mkuu nilikuwa pengine bado mdogo ila lotion za jambo na Chai Jaba nakumbuka kumbuka by the way mkuu nimezaliwa mnamo mwaka 1998
Steve huyo alafu alikua na kisauti kidogoView attachment 402149hivi mnamkumbuka jina huyu jamaa..? ...vichekesho vyake vilikua itv miaka hio sijui vilikua vinaitwaje
Mkongwe big up mzeeKabla ya TV hizi za kibongo wengine tulianza na TVZ na TV za Kenya (KBC) funga antenna sijui mita ngapi juu bomba za maji za chuma zile (galvanized)...
Weka na power/signal booster kabisa ndani ikiwa na motor control maana antenna ndefu kuzungusha bomba ilikuwa issue...
KBC walikuwa na programs nzuri sana za nje kwa wakati huo, nilikuwa mpenzi wa WWF enzi za Andre the Giant, Yokozuna, The Undertacker na wengine kibao kina Flair...kina Ojwang, Masaku n.k
Baadaye baada ya ujio wa ITV na CTN ndio walau hata mabomba ya antenna yakapungua urefu teh teh!!!
That was freakin way back, can't imagine sasa hivi televised contents unafanya kustream tu thru internet or sats...
Alafu zile sabuni sijui ziliishia wapi da waziludishe zilikua zinanukia vizuri alafu bei sh 150 tuMimi Tangazo lake nililipenda Sanaa yani nimelitafuta bila mafanikio
Hahah...mzee unatamani kumuona yule mlimbwende katika jaccuzi sio, akiwa kazungukwa na mapazia fulani ya net net na nuru ya mishumaa kwa mbaaaali....Mimi Tangazo lake nililipenda Sanaa yani nimelitafuta bila mafanikio
Sikuhizi simuoni kabisa sijui kaacha BBC?
View attachment 402149hivi mnamkumbuka jina huyu jamaa..? ...vichekesho vyake vilikua itv miaka hio sijui vilikua vinaitwaje
Family mattersNa rafiki yake Bonge hivi kila Mara anaigiza kama polisi
steve the cooperView attachment 402149hivi mnamkumbuka jina huyu jamaa..? ...vichekesho vyake vilikua itv miaka hio sijui vilikua vinaitwaje
Emergency room na the comish was my favourite
Yaaaani huyo Dada Kama unapicha yake hebu niwekeee nimuone si alikuwa mweusi hivii