Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Kabla ya TV hizi za kibongo wengine tulianza na TVZ na TV za Kenya (KBC) funga antenna sijui mita ngapi juu bomba za maji za chuma zile (galvanized)...

Weka na power/signal booster kabisa ndani ikiwa na motor control maana antenna ndefu kuzungusha bomba ilikuwa issue...

KBC walikuwa na programs nzuri sana za nje kwa wakati huo, nilikuwa mpenzi wa WWF enzi za Andre the Giant, Yokozuna, The Undertacker na wengine kibao kina Flair...kina Ojwang, Masaku n.k

Baadaye baada ya ujio wa ITV na CTN ndio walau hata mabomba ya antenna yakapungua urefu teh teh!!!

That was freakin way back, can't imagine sasa hivi televised contents unafanya kustream tu thru internet or sats...
 
Kuna ka series kalikua black and white ITV,kajamaa kamodo kapole ila kana nguvu za ajabu,anaweza akatoa antenna kichwani au akapotea enwo moja kwenda jongine,au kna mda alipanda mbegu akaziotesha zkawa mti kda huohuo,asee nmeitafuta jina hii series hadi nimekata tamaa,anaeijua tafadhalii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ID yako tu enzi hizo hilo jina la sabuni lilikuwa maarufu na umaarufu wake ulichaguzwa na tangazo la ITV la "Revola revolaaaaa revolaaaa...."
Mimi Tangazo lake nililipenda Sanaa yani nimelitafuta bila mafanikio
 
Kabla ya TV hizi za kibongo wengine tulianza na TVZ na TV za Kenya (KBC) funga antenna sijui mita ngapi juu bomba za maji za chuma zile (galvanized)...

Weka na power/signal booster kabisa ndani ikiwa na motor control maana antenna ndefu kuzungusha bomba ilikuwa issue...

KBC walikuwa na programs nzuri sana za nje kwa wakati huo, nilikuwa mpenzi wa WWF enzi za Andre the Giant, Yokozuna, The Undertacker na wengine kibao kina Flair...kina Ojwang, Masaku n.k

Baadaye baada ya ujio wa ITV na CTN ndio walau hata mabomba ya antenna yakapungua urefu teh teh!!!

That was freakin way back, can't imagine sasa hivi televised contents unafanya kustream tu thru internet or sats...
Mkongwe big up mzee
 
tulio kua tuna tazama watoto show kulkua na tamthilia ya Journey to the West (aka Sheevo) mnaikumbuka hii tamthilia???
 
Mimi Tangazo lake nililipenda Sanaa yani nimelitafuta bila mafanikio
Hahah...mzee unatamani kumuona yule mlimbwende katika jaccuzi sio, akiwa kazungukwa na mapazia fulani ya net net na nuru ya mishumaa kwa mbaaaali....
 
Sauda kilumanga alichaguliwaga kwenda south Africa kuigiza thamthilia ya is dingo watu wakauliza je atakubali kupigwa denda
Yaaaani huyo Dada Kama unapicha yake hebu niwekeee nimuone si alikuwa mweusi hivii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom