Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Revola

Revola

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2015
Messages
1,161
Points
2,000
Revola

Revola

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2015
1,161 2,000
Wana jamvi leo nimeona japo turevew miaka hii ya nyuma vipindi vya television enzi zile 1994 kuibukia miaka ya 2000. Binafsi nakumbuka mbali sana hasa vipindi vya television ITV mfano Egoli place of Gold, 21 jump Street, Time trax, movie ya V, Rino Renz, vichekesho Kama Fresh Prince of bell air, family matters, Living Single ya Queen Latifa, Tausi ya mjuba, Vitimbi(masakuu, Ojwang' Othrong'ong'o) Vioja Mahakamani, Mambo hayo ya kina Waridi, Sumbi, bocha na Aisha. Pia kulikuwa na Tamthiliya kama The young and the restless, Sun seat beach, na Acapulco bay.

Aidha nakumbuka tulikuwa tunaangalia UEFA kupitia CFI(Canal France International). Matangazo nakumbuka kama Revola, komoa, lotion ya Jambo, hebu vingine mnisaidie CTN na DTV. Je kipindi kile watangazaji unawakumbuka? Wa ITV, CTN, na DTV. Mimi kwa itv namkumbuka Suzan Mongi nilimpenda sana sana. Karibuni tuflash back jamani.
 
Raynavero

Raynavero

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Messages
36,135
Points
2,000
Raynavero

Raynavero

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2014
36,135 2,000
Tausiii ndege wanguu!!ndege wangu wa fahari!

Nakumbuka siti binti Kasri alivyokuja dar kwao pale kwa manjunji M/mala watu tulivunja ukuta kwenda kumshangaa...!!

Asante mleta Uzi!
 

Forum statistics

Threads 1,314,900
Members 505,075
Posts 31,841,650
Top