Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Nakumbuka vipindi kama Mambo hayo na Maisha pale ITV na kwa upande wa Channel Ten kulikuwa kuna vipindi kama Nani ni nani na Muziki motomoto.
Pia dada yetu Maria Sarungi alikuwa na kipindi kinaitwa "Facets" na bila kumsahau Jenerali Ulimwengu na kipindi chake cha 'Jenerali on Monday'

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hivi hukuikuta DTV?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Movie ya Vicent pale ITV jamaa alikua ana sura ya simba....
Katuni ni Jungle
Tom and Jerry
Mieleka CTN kina Hulk Ogan, The big show, Sting n.k
Vitimbi mama Kayai, Husna
Na mengine mengi...
 
Movie ya Vicent pale ITV jamaa alikua ana sura ya simba....
Katuni ni Jungle
Tom and Jerry
Mieleka CTN kina Hulk Ogan, The big show, Sting n.k
Vitimbi mama Kayai, Husna
Na mengine mengi...
Umetisha sanaaa mwana imekaa poa sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom