Tukumbushane vijineno vya Marais mbalimbali kwenye hotuba zao

Acheni wivu wa kike - Pius Msekwa alipokuwa akijitetea baada ya kubanwa kuwa yeye ni Spika wa Bunge na huku ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Vodacom Tanzania.

naenda kuwandalia makao - MAkamba,

mwenye nukuu za Makamba atumwagie, maana yule babu alikuwa ni kinara wa kuongea pumba

Unajifanya kuongea ongea sasa hutfaidi kwani mtoto mkaidi huwa hafaidi - akimuambia Nape Nnauye mbele ya waandishi baada ya Nape kuibua scandal ya mradi wa ujenzi wa jengo la UVCCM.
Si mnaona siku hizi nazidi kupendeza tofauti na nilivyokuwa serikalini kule njaa tu hakuna kitu, njooni kwenye chama si mnaona....-alikuwa akiwaambia waandishi wa habari.
Wakiongea kwenye simu na mmoja wa wagombea Ubunge wakat wa mchujo baada ya kura za maoni mjini Dodoma;
Ma-rope (akizuia kuonana naye ili kutozu tafrani japo waliku karibu akaamua kupiga simu); Eti Ndungu wewe si ni raia?
Ndungu (akiwa ndani ya suti yake nyeusi); eeer... Ndiyo mzee kwani vp huko?
Ma-rope: Eti wanasema uliukana urai ukachukua wa sauzi, kwani kuna mtu mwenye ushahidi na hili?
Ndungu: hapana mzee....

Nje ya mada....mada inataka vijineno vya MARAISA mbalimbali. Sasa huyu Makamba na Msekwa walishawahi kua marais?!?!
 
-Uzuri wa ukakasi ndani kipande cha mti: Mkapa
-mtoto wa kwanza ukifanya mzaha wa mwisho atarithi ng'ombe: Mkapa
-zama za uwazi na ukweli: mkapa
-ukitaka kumbuka mtu alivyo mpe madaraka- Mkapa
-ni vema ukapendwa kwa kuwa muwazi kuliko ukapendwa kwa udanganyifu na ulaghai- Mkapa
This person was a real presidential figure. Let express my interest that this is My role model. I know he did bad things but those is non of my business.
 
napenda nukuu za Chenge. Mwenye nazo atupie humu ndani. Anafurahisha sana. Mfano,'ukiwa waziri wa mawasiliano na uchukuzi, huoni gharama kubwa ya serikali inayoingia kuyahudumia?' akajibu,'hata wakati wa Nyerere hakukuwa na magari ya kifahari na VILEVILE HAKUKUWA NA MAENDELEO YOYOTE YA MAANA!'
 
Usipokuwa tayari kuliwa kidogo huli! Sasa unataka kula tu bila kuliwa, haiwezakani! - Kikwete
 
Fukuza hao mapanya, OCD wilaya ya arusha alipokuwa anawaamulisha polisi kuwatimua wanachama wa chadema mahakamani arusha
 
"Sijali rangi ya paka najali kama anakamata panya" Mkapa akiwajibu wafanyakazi wazawa 'Mei-Mosi' walipolalamikia management ya Tanesco kutoka South Africa na walipoomba serikali yake ilinde nafasi za kazi zao!
 
Back
Top Bottom