_mnakula pamoja mfano ugali, mtu aacha kula upande wake anakuja kumega upande wako
_mnakula pamoja , ghafla mtu anastop anaenda msalani akirudi anaendeleza kupiga menu na mnashea
_mnakula mfano nyama, mtu anachagua chagua ,badae anaona kipande kinachomfaa ndio anakichukua
_mnakula pamoja, mtu anapiga chafya hazibi mdomo, particles zinawarukia
_mnakula wali maharage may be na mchuzi wa nyama, vimechanganywa kwenye sinia, mtu anafinyanga Kama tonge adi michuzi inachuruzika kwenye kiganja , inatia kinyaa
Ongezea nyingezo
Sasa mkuu usipotengeneza shimo kwenye tonge mchuzi utakaa wapi?Kunawa maji yasiyo tiririka, bakuli moja wananawa watu 6+ maji hayohayo.
Kuweka Shimo kwenye tonge, au kulitengenezea tela tonge, aaaaaargh inaboa
Shimo hupelekea bakuli la mboga kukosa utulivu, ni jikoni-mezani- mezani-jikoni-mezaniSasa mkuu usipotengeneza shimo kwenye tonge mchuzi utakaa wapi?
Kulikuwa na uhaba wa sahani? Kwa nini kila mtu asile na sahani yake?_mnakula pamoja mfano ugali, mtu aacha kula upande wake anakuja kumega upande wako
_mnakula pamoja , ghafla mtu anastop anaenda msalani akirudi anaendeleza kupiga menu na mnashea
_mnakula mfano nyama, mtu anachagua chagua ,badae anaona kipande kinachomfaa ndio anakichukua
_mnakula pamoja, mtu anapiga chafya hazibi mdomo, particles zinawarukia
_mnakula wali maharage may be na mchuzi wa nyama, vimechanganywa kwenye sinia, mtu anafinyanga Kama tonge adi michuzi inachuruzika kwenye kiganja , inatia kinyaa
Ongezea nyingezo
Daah hii nimempiga mabiti dogowangu sana sie kilamtu anakula kivyake kujipakulia siku nyengine uvivu unaunga dogo kucha kubwa nyeusiUnakula ugali wa mchuz Na mtu mwenye kucha nyeusii....
Wakenya mnapenda sana kujipaisha..ni wakati ni wachafu .. na wachoyo ...mliopindukia...Si nyie wabongo mmefunzwa upuzi huu na hao waarabu,Kenya ni uzungu kwenda mbele.
Kila mtu sahani lake pamoja na uma na kijiko.
Alikuwa anawajali alilazimika kuonja kama una sumu kuvu.Nimekumbuka kabisa babu yangu, RIP wajina wangu😀😀
Chakula kikija yeye ananza bakuli la mchuzi, anakunywa kwanza hadikifike kiwango akitakacho then ndio mnaanza kula.
Wazee wazamani miyeyusho kweli...
HahaWakenya mnapenda sana kujipaisha..ni wakati ni wachafu .. na wachoyo ...mliopindukia...
Wewe unaishi nchi gani?Nilidhani tabia ya kula sahani moja imepitwa na wakati na haipo Tena. Kuuumbe
Ndio mnaanza kula ugali na kuku-jogoo mchuzi, ghafla jirani anaingia na kukaribishwa kwa heshima na taadhima. Anajibu: " Aaaa, nimeshiba, nimetoka kula muda si mrefu uliopita, lakini ngoja nitie baraka kidogo" anamega tonge mbili halafu anageukia bakuli la finyago na kuchukua bonge la paja!! Halafu: Aaa! asanteni nimeshiba" Ananawa mkono na kuodoka akimung'unya paja la jogoo!
Wala sio utajiri. Ni tabia mbaya tu ya waswahili. Kuna mabakuli, masinia, masufuria. Pakueni humo mle sio kushare.Mlikua matajiri kwenu bila shaka
Yes ndo huyo. Lkn ilikuwa kipindi tupo wadogo..walikuja kustaarabika baadae.Ndio uafrika huo tunaishi kwa kujamiana. Ndio yule aliyefariki mwaka jana..?
Yupo hajamboSocializing with society..kujamiiana.
Rip.. hadinimemmiss V
Shimo hupelekea bakuli la mboga kukosa utulivu, ni jikoni-mezani- mezani-jikoni-mezani