kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 6,176
- 15,878
- Thread starter
-
- #81
Kule mombasani je ??? Uswahili mtupu umejaa !Si nyie wabongo mmefunzwa upuzi huu na hao waarabu,Kenya ni uzungu kwenda mbele.
Kila mtu sahani lake pamoja na uma na kijiko.
Mkuu punguza sauti, watakuja kukunangaKwanini mle pamoja kwani mmeshindwa kupakua kila mtu sahani yake? Tabia ya hovyo sana iyo hasa kwa ndugu zetu wavaa kobazi
Mi nadhani labda shida ilikuwa ni umaskini uliokithiri, yani wananunua chakula kidogo, sasa kwavile hakitoshi kila mtu kula mwenyewe ndio inabidi wachanganye wale pamojaSi nyie wabongo mmefunzwa upuzi huu na hao waarabu,Kenya ni uzungu kwenda mbele.
Kila mtu sahani lake pamoja na uma na kijiko.
Mnakula pamoja alafu mtu anakomba mboga na anaona kabisa ugali mkubwa hatuonani upande wa pili
ila huu uzi unachekeshaNmakula mtu anakukodolea macho hadi unakabwa
Hii inaboa kichiz yanMnakula pmoja jamaa anang'ata tonge alafu anarudisha tena kwenye bakuli LA mboga
Mkuu..wali na maziwa mgando vinapanda kweli?Mnakula kwa mikono wali na maziwa mgando vimechanganywa kwenye sinia. Taratibu unaonaa rangi ya maziwa inaanza kubadilika.
Hii ndio mwisho wa matatizo....π¬π¬π¬π¬Njooni huku pwani muone mpaka leo bado watu wananawa sehemu moja ,yaani anaanza baba anatia mikono kwenye beseni wanafuata watoto na kula kwenye sinia moja,tena wanaona kawaida sana!
Mbona hamna shida hapo.mkuu..ππMtu badala ya kutoza ugali kwenye mboga yeye anakula kwanza ugali kisha mboga anachukua na vidole.
Mkuu vidole vinazam kwenye mboga ya mchuzi kisha anavuta mdomoni anapoila.Mbona hamna shida hapo.mkuu..ππ
Tatizoo iloo nikajua mboga za majan..ππ¬Mkuu vidole vinazam kwenye mboga ya mchuzi kisha anavuta mdomoni anapoila.
Mnakula pamoja mtu kavaa shati LA mikono mirefu na analivusha juu ya msosi km daraja LA mfugale kutafuta mboga upande was pili
Mkuu..wali na maziwa mgando vinapanda kweli?