Tukumbushane "table manners" mbovu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mnakula mtu anamaliza kuku nusu na chips daaah kuna watu wanakula jamani
kuku nusu tu? aah kuna watu ma slei kwini jamani,mimi tu naondoka kuku mzima,yani vikuku hivi vya KFC

nile kipaja nishibe aaah waaapiiii,labda kama unaongelea mikuku Kuchi ya singida (hapo sawa) nakuget get
 
Kuna siku ile ndio tunaweka ugali kwenye sahani mara mgeni anaingia halafu mroho kichizi,ikabidi tule nae ugali ukiwa vilevile wamoto full kuungua ila yeye kama ana feni anakata tonge huku story.
Basi aliniboa kichiz maana huwa sipendi kula chakula chamoto hata huwezi kutafuna vizuri ila ikabidi tu tule kwa sababu yake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]noma Sana
 
Mtu badala ya kutoza ugali kwenye mboga yeye anakula kwanza ugali kisha mboga anachukua na vidole.
 
Kuna mwamba huyo akiona mboga imepungua anabeba bakuri anashikilia mkononi [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Maisha kuishi kwingi kuona mengi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Swala la kula watu kibao kwenye sahani moja nalo ni tatizo
Si nyie wabongo mmefunzwa upuzi huu na hao waarabu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38],Kenya ni uzungu kwenda mbele.
Kila mtu sahani lake pamoja na uma na kijiko.
 
Kwanini mle pamoja kwani mmeshindwa kupakua kila mtu sahani yake? Tabia ya hovyo sana iyo hasa kwa ndugu zetu wavaa kobazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…