Tukumbushane Mashujaa wa Wanyonge hapa Nchini Waliotumiwa Vibaya na Serikali yetu!

Tukumbushane. Hata kama ilikuwa serikali ya awamu ya kwanza. Tunakumbushana tu.
 
Tukumbushane. Hata kama ilikuwa serikali ya awamu ya kwanza. Tunakumbushana tu.
 
Anne Kilango Malechela ....Hivi alishafariki? Au yuko Hai? Au Kapata Kansa ya mdomo?
 
Orodha naamini ni kubwa. Kila mmoja wetu anaweza akaweka wawiliwawili. Kuwataja humu ni kuwaenzi kwa upande mmoja au mwingine..
 
tewa said tewa, said fundikira, Abdulwahid sykes, Mshume kiate, Mohamed mangiringiri, zuberi mtemvu, suleiman takadir.
 
Orodha naamini ni kubwa. Kila mmoja wetu anaweza akaweka wawiliwawili. Kuwataja humu ni kuwaenzi kwa upande mmoja au mwingine..
 
Back
Top Bottom