bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,667
Sio mbaya leo weekend tukakumbushana majina mbadala ya timu za mpira wa miguu hasa za bara letu la Afrika.
Itapendeza Ukataja bila kuzama Google we taja ukikosea watakuja wengine kufanya marekebisho ukitwambia na maana yake itapendeza zaidi,kwa kuwa mfano naanza Mimi.
Taifa Stars - Tanzania sijui maana yake hii
Amavubi - Rwanda(manyigu)
Intamba Murugamba - Burundi(mbayuwayu)
Bafana Bafana - South Afrika
Chipolopolo - Zambia(risasi za Shaba)
The Might Warriors - Zimbabwe
Indomitable lions Cameroon (Simba wasiofugika)
Super Eagles - Nigeria
Uganda Cranes - Uganda.
Harambee Stars - Kenya
Tuendelee...