mbozimbozi kumwitu
Senior Member
- Mar 8, 2025
- 158
- 187
Ni kwel mkuuMathematics ukiijua ni somo simple kuliko yale ya kuandika ma essay
Ndio hivyoAh aha
Haaaaaaaaaaaaaa mhhhhhSasa mbona hiyo karatasi pia ipo kama essay.
Kwani Kuna somo unalotafuta uibu lisilojulikana....bios chem na phy unafanya practical inayojulikana mpaka njia za mkato ili upate jibuMathematics inaponichosha ni pale wanalijua jibu kabisa wanakaa kutusumbua Find x, kila swali Find x.
Haaaaaaaaaaaaaaaa sasaiv mkuu wameacha kuitafta x wanatafta zMathematics inaponichosha ni pale wanalijua jibu kabisa wanakaa kutusumbua Find x, kila swali Find x.
haha maths imezidi! hio x waliipotezea wapi maana kila swali find xKwani Kuna somo unalotafuta uibu lisilojulikana....bios chem na phy unafanya practical inayojulikana mpaka njia za mkato ili upate jibu
Mtu wa kwanza aliyewaza kutumia x inaonekana ni mzee wa minjunjano sio kirahisi akaacha heruf kuanzia A mpaka W akadili na X tuhaha maths imezidi! hio x waliipotezea wapi maana kila swali find x
Nilipoingia form one niliitukana hisabati kwa kuiambia 'Hisabati kumanyoko' ndiyo maana siijui hadi leoMathematics inaponichosha ni pale wanalijua jibu kabisa wanakaa kutusumbua Find x, kila swali Find x.
KabisaNi kwel mkuu
If you knownMathematics is very sweet if you known to calculate,recall this for moment.
Undefined mkuu(haiwezekani)1÷0=?