mbozimbozi kumwitu
Senior Member
- Mar 8, 2025
- 158
- 187
- Thread starter
- #21
Mkuu labda unashida kdgKwa kuangalia mtililiko kwenye hiyo karatasi uona mbona easy tu, njoo kwenye kanuni sasa macho yanakuwa hayaoni vizuri 😳
Mkuu labda unashida kdgKwa kuangalia mtililiko kwenye hiyo karatasi uona mbona easy tu, njoo kwenye kanuni sasa macho yanakuwa hayaoni vizuri 😳
Kuna shida mkuu??If you known
Yap ni 6/5Reciprocate 1/2+1/3
MmhNilipoingia form one niliitukana hisabati kwa kuiambia 'Hisabati kumanyoko' ndiyo maana siijui hadi leo
Naam hiyo inakufanya ufikirie vyema zaidi katika jambo lolote.Mathematics inaponichosha ni pale wanalijua jibu kabisa wanakaa kutusumbua Find x, kila swali Find x.
Sana sana mkuu definition nzuri sanaMathematics ni games ya kucheza na nambari, signs kwa kutumia kanuni.. Unapaswa ujue kanuni kisha ndio akili iweje kucheza hiyo game vizuri.
Nilekebishe mkuu maana hizo ni lugha za watuIf you know to calculate.
Nadhani umekosea.
Iko hivyo mkuu.
MmmhUtapata namba kubwa sana.
Sio.
Je hiyo undefined ukiizidisha kwa 0, jibu litakuja 1 ?
Namba yeyote ikizidishwa kwa 0, jibu ni 0.