Tukumbushane harakati za Dr. Pimbi mzee wa mission impossible

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
13,962
35,086
Habari wana JF,

Wakati tukiwa na majonzi ya kupokea habari mbaya za kupigwa dhahabu na madini mengine yenye thamani kubwa kupitia dhulma ya kusafirishwa mchanga ghafi nje ya nchi. Si vibaya tukafanya tafakari ya huyu Dr. Pimbi.

Hiki kijamaa kilikua kikaragosi cha jarida la SANI. Hiki kijamaa kilikua kinaharakatia mapenzi lakini mara nyingi mission zake zilikua hazifanikiwi. Embu tukumbushane harakati za Dr Pimbi.

upload_2017-5-25_14-6-13.gif
 
Nilidhani utaanza kwa kutupia picha za katuni kadhaa,aaarrrggghhh.
Sina my dear, unajua nilimsikiliza muheshimiwa Raisi jana na wale wanaojiita ma prof kumbe ni Dr basi nikawaza tu kwa maandishi harakati za huyu Dr Pimbi, ambaye alikua mwanaharakati wa kutukuka wa mapenzi
 
Back
Top Bottom