Tukumbuke zamani

Watu8

Platinum Member
Feb 19, 2010
70,797
93,435
attachment.php


enzi hizo tukiwa machalii...
 

Attachments

  • Ringi1.JPG
    Ringi1.JPG
    44.6 KB · Views: 568
Sio sasa!vitoto kutwa vibanda vya tv na playstatios

nakumbuka nilikua na ringi langu la baiskeli na fimbo mfano wa bakora ya polisi...ringi langu nilikua nalipark ndani kama BMW, Vogue au Cayene flani hivi
 
nakumbuka nilikua na ringi langu la baiskeli na fimbo mfano wa bakora ya polisi...ringi langu nilikua nalipark ndani kama bmw, vogue au cayene flani hivi

yote tisa!504 ya mzee ilikuwa ikibadilishwa matairi tu! Mdingi alikuwa anatugaia na hata wazee wengine wa mtaani walikuwa wakifanya ivyo! Lakini madingi wa skuizi, mandezi kweli! Wanauza au kutupa! By that time baiskeli hata kama unayo ya kwako, kwenda kukodisha ndo ilikuwa rahaa bana
 
halafu kuna ile ringi ya tairi si hii ya chuma,ile ya mpira halafu unafungia kwenye kijiti na kamba
 
halafu kuna ile ringi ya tairi si hii ya chuma,ile ya mpira halafu unafungia kwenye kijiti na kamba

hahah kwa manjonjo unakua unadrive kwa kupeleka kamba kushoto<-->kulia, then unaweza inyanyua kidogo
 
hahah kwa manjonjo unakua unadrive kwa kupeleka kamba kushoto<-->kulia, then unaweza inyanyua kidogo
hahahaha halafu kuna yale majonjo unainyanyua unaiendesha hewani tairi linazunguka weeeeeee?ee bhana tulikuwa creative
 
ebwaneee kitambo sana nakumbuka sisi week end au jioni tukiludi toka shule tunakusanyana watoto wa mtaani na kuanza kushindana kukimbiza mataili/malingi na kutafuta mshindi ni la nani linakimbia sana?? Tulikuwa tunapiga zoezi bila wenyewe kujua
 
lol, enzi adimu ndo hazirudi tena.
watu wengi wanazitamani ila hawapendi wanao wacheze michezo hiyo,
wanataka video game, comp nk.
Chakujiuliza, ni michezo ipi inamjenga mtoto vzr,
hii ya kisasa au ile yetu ya zamani?
 
halafu kuna ile ringi ya tairi si hii ya chuma,ile ya mpira halafu unafungia kwenye kijiti na kamba
weweeeeee,inaitwa changanya,,,hizo enzi 1981,,,1987,,kule ngulu kwakoa,wilayani mwanga kilimanjaro,,,,,inapigwa toka kiverenge hadi mabashula kwendakula ,,mkongea,,manyata,kw varisingi,,,yaan it was good time,,nchi ni green chakula tele,,mito inatiriika maji hata kiboghosho na machakinda na kivisin nyuma ya kandaru,,,,,
 
Hii kitu ilinifanya nijue kukimbia...coz nilikuwa ninaiachia kwenye mteremko....na wewe lazima ukimbie uikamate kabla haijagonga mtu!! zamani ilikuwa raha sana.. msimu wa Ringi ni Ringi...upo wa Magari....Baiskeli za Miti......Mpira...duh...so nice siku hizo mtoto hata hawezi kukimbiza kuku!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom