Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,342
- 5,141
Takataka.Hii nchi ina vijana wa hovyo sana
Tukitumia akili tunakuwa wa hovyo?Hii nchi ina vijana wa hovyo sana
Wewe taga mbona una hangaika sana na Chadema kwani huko CCM hakuna wanaume wa kukutoa loki?Sawa, lakini ukweli upo palepale.
😷Wewe taga mbona una hangaika sana na Chadema kwani huko CCM hakuna wanaume wa kukutoa loki?
Pambana sasa au ndiyo unapambana kwenye mitandao.Kama tulibanwa haimaanishi ndio tunatakiwa tushukuru tukiachiwa. Ni haki ya chadema kufanya shughuli za kisiasa kwa uhuru.
Ndugu yangu RitiZ kwani nawe timu bambika.Pambana sasa au ndiyo unapambana kwenye mitandao.
Mimi sina timu wala sishikiwi akili vipi wewe upo timu ipo ya Kigogo au Lissu nasikia kimenuka.Ndugu yangu RitiZ kwani nawe timu bambika.
Kwani wamekiuka sheria ipi maana katazo ni Sheria ya magufuli na sio ya nchi inaruhusu mikutanoAmeingia madarakani tukiwa na hali mbaya sana. Maana tulikuwa tumevunjiliwa mbali na Ccm yao.
Tukapewa ruhusa ili tufanye mikutano ya kidigital ili alau hata kidogo kuwe na nguvu ya upinzani. Badala yake ni kutulia nafasi hii vibaya. Kumletea dharau na kumtishia.
Sasa ameonyesha ukuu wa mamlaka ya urais kila kamanda amenuna. This is shamefulness.
Chadema kamateni hapo hapo. Pameanza kuuma. Kaza spana Chadema, kaaazaaa!Ameingia madarakani tukiwa na hali mbaya sana. Maana tulikuwa tumevunjiliwa mbali na Ccm yao.
Tukapewa ruhusa ili tufanye mikutano ya kidigital ili alau hata kidogo kuwe na nguvu ya upinzani. Badala yake ni kutulia nafasi hii vibaya. Kumletea dharau na kumtishia.
Sasa ameonyesha ukuu wa mamlaka ya urais kila kamanda amenuna. This is shamefulness.
Wewe kweli kweli mikutano sio isani ni takwa la katibaAmeingia madarakani tukiwa na hali mbaya sana. Maana tulikuwa tumevunjiliwa mbali na Ccm yao.