Criss
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 1,944
- 3,090
Kuanzia siku ya uchaguzi hadi leo Taifa limekumbwa na taharuki kuu kwenye eneo la kiusalama .
Hakuna kinachoumiza moyo kama raia kupigwa na risasi walizozinunua kwa Kodi zao wenyewe ,haukuna kinachoumiza moyo kama raia kuanza kuishi kwa mashaka kwenye Taifa lao.
Siku ya uchaguzi na baada ya uchaguzi kumekuwelo na matukio yasiyo na afya kwenye Taifa letu kwa watu wasiyojulikana kutembea na gari kisha kuua makundi ya vijana na kisha kwenda kuwatupa kusikojulikana tunajiuliza haya yanafanywa na nani ?
Kwa faida ya nani?
Tumefikaje hapa?
Nini hatima ya hali husika?
Raia wataendelea kuuwawa kwa siraha za moto na watu wasiyojulikana hadi lini?
ndiyo maana tunaulizana ,tuendelee kukubali kuuwawa au nasisi tuanze kutafuta njia mbadala zakujilinda sambamba na kuanza kulipa visasi kwa uovu tunayotendewa na serikali yetu?
Serikali isifikie hatua ya kutuona watanzania kama wajinga tusiyojitambua , uvumilivu wetu unatokana na mapenzi mema kwa Taifa letu na siyo ujinga .
Haya yanayotokea nihatari sana kwa musktakabali wa Taifa letu , maadui wanaweza kuutumia huu mwanaya kwa kutuingizia siraha kisha tuanze kuuana wenyewe kwa wenyewe ,je! tumejiandaa kukabiliana na hiyo hatua ?
Mauaji holela yanatoboa sana mioyoni yetu ,isifikie mahali tukalazimishana kuzalisha mioyoni ya visasi .