donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
First things first my folks hawapo kwa village wapo kwa villa, and second but not least sijaajiriwa nimejiajiri. Jitahidi kufikiri kabla hujacomment mkuuHapo kijijini mamako hana hela ya kuweka kibarua wa kulima we unamis use ka mshahara kako ka kwanza! Grow up be a man hao breweries wanabadilishana shift kuzitengeneza hizo! Mtakuja mfe! Mapapaa walishaacha
Tehteh..[emoji23] [emoji23] ... kwanza ni majuice tuu yamejaa. Ilo dompo m napiga alone na silewiMatangazo tu hayo mbona hakuna empty bottle yoyote hapo
Au mko maji bila kulewa sema umekusanya vipombe na vipesa vyako upige picha upate cha kupost jf[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Real men post serious things.First things first my folks hawapo kwa village wapo kwa villa, and second but not least sijaajiriwa nimejiajiri. Jitahidi kufikiri kabla hujacomment mkuu
Ndio maana sometimes postmortem haitoi majibu sahihi
Hata mm nimefikiri hilo maana sijaona Japo box la juice au can ya soda iliyofunguliwa nikawaza ni muuza duka la vinywaji amechukua baadhi akavipanga mezani na pesa ya mauzo kdg akatwanga photo!Nahc muuza duka
Wapo mtandaoni haoo maa!! WasikudanganyeWapi huko ?
Hahaha viroba vinaamsha sana majiniDah sijapiga HiVyO vitu siku mingi.. Kila siku viroba tu