Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,130
- 48,862
Hivi Savannah inalewesha? Au wewe ni kichwa panzi?
Viroba vina kick Sana Kwa Sasa.. Sasa hivi zed zimekuwa adimu Sasa KAMPUNI ya boss imeleta vyao ladha ya pineapple ndo viroba vyangu Sana Sana na burudani wine. Maskani tunaita vinyau au virox au viguniaHahaha viroba vinaamsha sana majini