"Tukiwezeshwa tunaweza" inaweza kuwa kauli ya kidhaifu

Didododi

JF-Expert Member
Jul 21, 2023
321
426
Wanajukwaa hoyeee.

Leo nimeona niizungumzie hii kauli mbiu ambayo imekuwa ikisikikasikika kwenye makusanyiko mbalimbali.

Kiukweli tunajua kwamba pande hizi mbili zinategemeana katika kuleta maendeleo ie mwanaume na mwanamke hivyo supporting each other iz something dat's good.

Ila pamoja na hayo nafikiri wanawake ni jeshi kubwa hivyo kusema tu WANAWAKE TUNAWEZA inatosha.
 
Hamuwezi lolote bila kusimamiwa na wanaume. Kwangu mimi mwanamke akishaanza habari za haki sawa namuona kama jambazi.
 
Back
Top Bottom