No kweli historia ya kuuza nchi kwa "mabeberu" usifanye mchezo Mwenyekiti wa Maisha alivyowekeza, hela yake lazima irudi na faida juuTunawasoma watu maarufu waliopingana na uonevu wa wakoloni wakatuletea ukumbozi. Waliofanya hayo walianza kwenye sanduku la kura 1958 na 1961 wakaingia ikulu na mzungu akafungasha virago...