Shaka aliwahi kusema kitabu cha historia ya CCM kimejaa matukio ya kusisimua

MTANZANIA620

Member
Jun 20, 2023
34
30
Katika moja ya mikutano yake na waandishi wa habari akijibu swali la mwandishi wa chombo kimoja cha habari aliyetaka kujua kama kujiuzulu kwa aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa kamati kuu ya halmashauri kuu ya Taifa ya CCM kama ni pigo kwa CCM na kutakidhooficha chama hicho aliyekuwa katibu mwenezi wa CCM wakati huo Ndg Shaka Hamdu Shaka alisema

"Ukifanya rejea, kitabu cha historia ya CCM kimejaa matukio ya kusisimua ambayo yalikipitisha chama hicho katika mawimbi na misukosuko mikali na kilivuka salama salmini na kimeendelea kuwepo mpaka leo kikiwa madhubuti zaidi"

Hii ilikuwa ni Januari 10, 2022 katika ukumbi wa Afisi Kuu CCM Kisiwandui Zanzibar.
 
Hakika shetani hana rafiki , yaani shaka katupwa ! Ikiwa kama katibu wa uenezi ndio hivi , na mwingine katupwa Urusi akafe kwa barafu , sasa wewe kapuka Mwashambwa utafanywaje ?
 
Back
Top Bottom