Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,548 Reaction score 64,911 Aug 17, 2026 #1 Kumekuwa na wimbi la watu kutuonyesha pesa, dhahabu, majengo, magari n.k bila kutuonyesha njia zilizotumika kupata hivyo vitu. Wanakuwa wanatuonyeshea matokea, badala ya mchakato mzima uliotumika katika kufanikisha hayo matokeo. Lengo lao ni kutaka nini kutoka kwetu? Au wana ajenda gani katika kututamanisha hivyo vitu? Watu wa namna hiyo, tukiwaita matapeli au wezi tutakuwa tunakosea?
Kumekuwa na wimbi la watu kutuonyesha pesa, dhahabu, majengo, magari n.k bila kutuonyesha njia zilizotumika kupata hivyo vitu. Wanakuwa wanatuonyeshea matokea, badala ya mchakato mzima uliotumika katika kufanikisha hayo matokeo. Lengo lao ni kutaka nini kutoka kwetu? Au wana ajenda gani katika kututamanisha hivyo vitu? Watu wa namna hiyo, tukiwaita matapeli au wezi tutakuwa tunakosea?
Marcostilone JF-Expert Member Joined Jun 25, 2023 Posts 7,018 Reaction score 17,925 Aug 17, 2026 #2 Utawaonaje wezi wakati hawajakuibia bado?
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,548 Reaction score 64,911 Aug 17, 2026 Thread starter #3 Marcostilone said: Utawaonaje wezi wakati hawajakuibia bado? Click to expand... Vyanzo havionekani