Tukiwa kwenye mtihani

Tukiwa kwenye mtihani

5.Kama maswali yalikuwa
magumu hivi ndo macho yetu
yanavyohangaika darasani:
(←_&#8592😉 (→_&#8594😉(←_&#8592😉(→_&#8594😉
Ile tu mwalimu akiingia gafla
macho yanakuwa hivi: (↓_ &#8595😉
Mwalimu akitoka kidogo:
(←_&#8592😉 (→_&#8594😉

NADHANI HAPO NDO ILIKUWA MPANGO MZMA..
 
hayo ni macho tu, na shingo jee? Umenikumbusha w,funzi walioandika mabom kwenye ceiling fans, mwalim alipoona wanafunzi wanaangalia juu akajua kuwa wanaona joto, ile kuwasha fan anaona w,funzi wanazungusha shingo tu na bado macho juu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom