Tukiwa kwenye mtihani

Tukiwa kwenye mtihani

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,341
‎Mambo matano tunapokuwa kwenye mtihani


1.Tunarudia kusoma maswali tukidhani majibu yatatoka kwenye yale maswali

2. Kuangalia kila upande wa darasa ili kujua kama wanafunzi wenzako wanahangaika kama wewe.

3.Lazima utaanza ufanya marking kwa yale maswali ambayo ni magumu au marahisi

4.Halafu ukiona maswali ni magumu au marahisi ndo unaanza kuamua cha kufanya

5.Kama maswali yalikuwa magumu hivi ndo macho yetu yanavyohangaika darasani: (←_&#8592😉 (→_&#8594😉(←_&#8592😉(→_&#8594😉

Ile tu mwalimu akiingia gafla macho yanakuwa hivi: (↓_ &#8595😉

Mwalimu akitoka kidogo: (←_&#8592😉 (→_&#8594😉
 
Hahahaah! Usiombe kuingia exam room umesahau kila kitu!
 
Ila me namba 3 huwa cfanyi maana unaweza kutoka na presha.
 
hahaha dah umenikumbusha mbali sana bt always ma friends were doin it to me in xam rum.
 
ha,ha,ha,ha,ha,aaaaaahhaaaa............ kaka unauzoefu mana duuuuh!!!!
 
duuuh umeniacha hoi hiyo ya mwalimu akiingia mana ni ukweli mtupu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom