Tukitegemea polisi tutashindwa - Kikwete

Tukitegemea polisi tutashindwa - Kikwete

Hii ni kauli ya kiungwana iliyotolewa na Mwenyekiti wa zamani wa ccm aliyekuwa pia Rais wa Tanzania , Jakaya Kikwete .

Ilikuwa ni katika vikao vya chama chake , pale alipokuwa anawaelekeza wanaccm wenzake kujibu tuhuma za wapinzani kwa njia ya majukwaa ya kisiasa badala ya kutumia polisi , tuhuma ya kisiasa ijibiwe kisiasa badala ya kutumia polisi .

Ushahidi wa hivi karibuni uliotokea nchini Gambia unaonyesha kwamba kauli ile ya Profesa Kikwete ilikuwa sahihi kwa 100%.

Mytake - Uungwana ni vitendo .

View attachment 1829666
Hakika CCM imekwisha, na imekwisha kwelikweli.
Inasubiriwa tu kutangazwa kuwa marehemu CCM atazikwa wapi na lini.
 
Back
Top Bottom