Tukitegemea polisi tutashindwa - Kikwete

Screenshot_2023-09-09-14-08-45-1.png
 
Hii ni kauli ya kiungwana iliyotolewa na Mwenyekiti wa zamani wa ccm aliyekuwa pia Rais wa Tanzania , Jakaya Kikwete .

Ilikuwa ni katika vikao vya chama chake , pale alipokuwa anawaelekeza wanaccm wenzake kujibu tuhuma za wapinzani kwa njia ya majukwaa ya kisiasa badala ya kutumia polisi , tuhuma ya kisiasa ijibiwe kisiasa badala ya kutumia polisi .

Ushahidi wa hivi karibuni uliotokea nchini Gambia unaonyesha kwamba kauli ile ya Profesa Kikwete ilikuwa sahihi kwa 100%.

Mytake - Uungwana ni vitendo .

View attachment 1829666
Yeye alitumia polisi akafaulu hakuonyesha njia Sasa wao wamekopi. Bila polisi nyiye ni zero tu wote tunajua tunashukuru umekiri
 
sasa itakuweje! maana siasa za hoja kwa hoja zimekuwa mwiba kwa chama tawala, zigo la kupambana na hoja za wapinzan wametupiwa polisi[emoji30][emoji3]
 
Hii ni kauli ya kiungwana iliyotolewa na Mwenyekiti wa zamani wa ccm aliyekuwa pia Rais wa Tanzania , Jakaya Kikwete .

Ilikuwa ni katika vikao vya chama chake , pale alipokuwa anawaelekeza wanaccm wenzake kujibu tuhuma za wapinzani kwa njia ya majukwaa ya kisiasa badala ya kutumia polisi , tuhuma ya kisiasa ijibiwe kisiasa badala ya kutumia polisi .

Ushahidi wa hivi karibuni uliotokea nchini Gambia unaonyesha kwamba kauli ile ya Profesa Kikwete ilikuwa sahihi kwa 100%.

Mytake - Uungwana ni vitendo .

View attachment 1829666
Hayo alikuwa anayasema mdomoni tu ili kiualisia hata yeye alikuwa anategemea Mbeleko ya POLISI na kwa sasa ndiyo kabisaa wala hawana tena mda wakukinadi chama chao wao ni mda wote kupiga chabo nani anaongea nini waende wakampoteze tuliyokuwa tunayasikia akifanya nduli idiamini pamoja na Bokada ndiyo yanayoendelea na sisi nchini kwetu.. Historia itakuja kuyandika haya madhila wanayo pitia Wanchi watanzia kwa sasa watu watakuja kushangaa.
 
Angalau yeye kasema
 
Kwakweli ndo maana kwa sasa lazima tunguli litembee ili CCM ibaki na Mwakani Mama ushindi ni 100% kama JPM alicheza na 80 huyu anaongezewa 20 zilizobaki
 
Hii ni kauli ya kiungwana iliyotolewa na Mwenyekiti wa zamani wa ccm aliyekuwa pia Rais wa Tanzania , Jakaya Kikwete .

Ilikuwa ni katika vikao vya chama chake , pale alipokuwa anawaelekeza wanaccm wenzake kujibu tuhuma za wapinzani kwa njia ya majukwaa ya kisiasa badala ya kutumia polisi , tuhuma ya kisiasa ijibiwe kisiasa badala ya kutumia polisi .

Ushahidi wa hivi karibuni uliotokea nchini Gambia unaonyesha kwamba kauli ile ya Profesa Kikwete ilikuwa sahihi kwa 100%.

Mytake - Uungwana ni vitendo .

View attachment 1829666
Hii ni moja kati ya mambo yanayonifanya nimwone Kikwete kati ya marais bora kabisa wawili Tanzania.
 
Back
Top Bottom