Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,903
Professor JK
Uhakika ni kwamba Yahaya Jammeh atakamatwa na kufungwa .ungekuwa unafahamu historia ya gambia bwana yahya jammeh alivyowafanya wapinzani ungemuelewa,
Yahaya Jammeh alimteua kila mkuu wa polisi nchini mwake , lakini nakuhakikishia atakamatwa na kufungwa .JK mtoto wa tauni haahaaaa
Wanatafuta huruma ya wananchi!!ambayo hawatoipata walau wananchi watakubali KWA shingo upande serikali ya umoja wa kitaifa!!Baada ya kustuka , japo kwa kuchelewa CCM sasa inataka Jeshi la Polisi lichunguzwe baada ya Wananchi kutokuwa na imani nalo
Jamaa anaijua sn siasaHii ni kauli ya kiungwana iliyotolewa na Mwenyekiti wa zamani wa ccm aliyekuwa pia Rais wa Tanzania , Jakaya Kikwete .
Ilikuwa ni katika vikao vya chama chake , pale alipokuwa anawaelekeza wanaccm wenzake kujibu tuhuma za wapinzani kwa njia ya majukwaa ya kisiasa badala ya kutumia polisi , tuhuma ya kisiasa ijibiwe kisiasa badala ya kutumia polisi .
Ushahidi wa hivi karibuni uliotokea nchini Gambia unaonyesha kwamba kauli ile ya Profesa Kikwete ilikuwa sahihi kwa 100%.
Mytake - Uungwana ni vitendo .
View attachment 1829666
Hakuna jeshi hapo ni tawi la CCMBaada ya kustuka , japo kwa kuchelewa CCM sasa inataka Jeshi la Polisi lichunguzwe baada ya Wananchi kutokuwa na imani nalo
Erythrocyte KUMBE UMEANZA MUDA MREFU SANA KUHANGAIKA NA VYAMA VISIVYO NA MUELEKEO MPAKA SASA HUJAKATA TAMAA? UTAKUWA NA MTYINDIO WA UBONGO WEWE DADAHii ni kauli ya kiungwana iliyotolewa na Mwenyekiti wa zamani wa ccm aliyekuwa pia Rais wa Tanzania , Jakaya Kikwete .
Ilikuwa ni katika vikao vya chama chake , pale alipokuwa anawaelekeza wanaccm wenzake kujibu tuhuma za wapinzani kwa njia ya majukwaa ya kisiasa badala ya kutumia polisi , tuhuma ya kisiasa ijibiwe kisiasa badala ya kutumia polisi .
Ushahidi wa hivi karibuni uliotokea nchini Gambia unaonyesha kwamba kauli ile ya Profesa Kikwete ilikuwa sahihi kwa 100%.
Mytake - Uungwana ni vitendo .
View attachment 1829666
Baada ya kustuka , japo kwa kuchelewa CCM sasa inataka Jeshi la Polisi lichunguzwe baada ya Wananchi kutokuwa na imani nalo
Hatimaye ccm yakubali ukweli
katiba mpya inakujaHayo ni maigizo ya ccm na dj mbowe ila jua ccm katu haiwezi acha kutumia polisi ama wizi wa kura kupitia tume ya uchaguzi. Kwa katiba hii na tume hii ya uchaguzi ni ngumu kuitoa madarakani ccm,mana sio chama cha siasa bali ni genge la wahuni.
What goes around comes aroundSasa mleta mada mbona kama unavuruga habari...!
Jk aliongea kwenge mkutano wa CCM hapa Tz..mfano wako na matokeo yake vimetokea Gambia...
Habari yako haina cohesion!
Kairudie mkuu