Mandingo JF-Expert Member Sep 22, 2011 4,429 3,637 Apr 25, 2017 #141 Safi sana napendaga movie za bank robbery sana!
The Professor JF-Expert Member Apr 30, 2013 2,218 4,534 Apr 25, 2017 #142 Nimeipenda hii, kwa thread kama hizi naomba usisahau ku ni tag please
wehoodie JF-Expert Member Nov 20, 2011 1,020 994 May 1, 2017 #143 Hii si ni movie ya The Hatton Garden Job iliyotoka mwaka huu. Attachments images (11).jpg 10.7 KB · Views: 124
billduke JF-Expert Member Mar 19, 2013 859 893 May 2, 2017 #144 Washaitengenezea movie tayari mbona inaitw...The Hatton Garden Job.. Habari yake ilivyotoka Kwenye SKY News ilikuwa shocked kweli.. Ila wanavyodai hao wazee walikuwa wanamjua ila hawakutaka kumtaja Jamaa.. Nilivyoona hili tukio nikakumbuka mkuu nikajua tu lazima utalileta maana linahitaji uweledi flani wa kulielezea.. Ila hii movie Kama ingechezwa na Wamarekani nahisi ingekuwa tamu zaidi. Waingereza wazuri kwa Documentary sio kwa movies Kama hizo. ...Keep it up Bro! The Bold.
Washaitengenezea movie tayari mbona inaitw...The Hatton Garden Job.. Habari yake ilivyotoka Kwenye SKY News ilikuwa shocked kweli.. Ila wanavyodai hao wazee walikuwa wanamjua ila hawakutaka kumtaja Jamaa.. Nilivyoona hili tukio nikakumbuka mkuu nikajua tu lazima utalileta maana linahitaji uweledi flani wa kulielezea.. Ila hii movie Kama ingechezwa na Wamarekani nahisi ingekuwa tamu zaidi. Waingereza wazuri kwa Documentary sio kwa movies Kama hizo. ...Keep it up Bro! The Bold.
kibol JF-Expert Member Apr 24, 2012 4,512 2,730 May 10, 2017 #146 Mkuu huwa nakukubali sana, keep it up.
covid 19 JF-Expert Member May 9, 2014 4,882 10,594 May 10, 2017 #147 The bold said: Hahahaah Click to expand... i salute you bro unatalent ya ajabu very unique......kwa mastori haya nitawasumbua sana officini.
The bold said: Hahahaah Click to expand... i salute you bro unatalent ya ajabu very unique......kwa mastori haya nitawasumbua sana officini.
Emmanuel J. Buyamba JF-Expert Member May 24, 2013 1,167 651 Oct 29, 2017 #149 Hivi huyu jamaa yetu The bold kapigwa ban ya maisha kama Babu Seya!?
Dhul JF-Expert Member Dec 13, 2016 732 748 Oct 30, 2017 #150 Mkuu pole kwa ban Nadhani umetuandalia zawadi nyingi sana Uko vizuri sana mkuu
Emmanuel J. Buyamba JF-Expert Member May 24, 2013 1,167 651 Nov 1, 2017 #151 Hatimaye kifungo kimeisha.Hawa JF kiboko!!
Bulaya001 JF-Expert Member Dec 21, 2018 5,868 6,480 May 17, 2019 #153 Hawa ndio wezi sasa, siyo hawa wajinga wajinga wanaotusumbua usiku kucha kutusumbulia afya bure!!
mtu wa zamani Member Sep 15, 2011 11 5 May 18, 2019 #154 Nilikutana na muvi ya Ilo simulizi. Ni muvi ya mwaka 2018. Inaendana na simulizi mwanzo mwisho
Habibu B. Anga JF-Expert Member May 7, 2013 6,557 25,671 Oct 13, 2021 Thread starter #155 Karibu.. VON BISMACK said: Nitajitahidi nipate nakala.. Click to expand...
Leloo June JF-Expert Member May 5, 2016 1,001 908 Oct 13, 2021 #156 Huu uzi umenifanya nimkumbuke nifah