Tukio moja la mwisho: Vikongwe majambazi waliotikisa dunia ya uhalifu

Hii si ni movie ya The Hatton Garden Job iliyotoka mwaka huu.
 

Attachments

  • images (11).jpg
    images (11).jpg
    10.7 KB · Views: 124
Washaitengenezea movie tayari mbona inaitw...The Hatton Garden Job..
Habari yake ilivyotoka Kwenye SKY News ilikuwa shocked kweli..

Ila wanavyodai hao wazee walikuwa wanamjua ila hawakutaka kumtaja Jamaa..

Nilivyoona hili tukio nikakumbuka mkuu nikajua tu lazima utalileta maana linahitaji uweledi flani wa kulielezea..

Ila hii movie Kama ingechezwa na Wamarekani nahisi ingekuwa tamu zaidi.
Waingereza wazuri kwa Documentary sio kwa movies Kama hizo.

...Keep it up Bro! The Bold.
 
Mkuu pole kwa ban
Nadhani umetuandalia zawadi nyingi sana
Uko vizuri sana mkuu
 
Hawa ndio wezi sasa, siyo hawa wajinga wajinga wanaotusumbua usiku kucha kutusumbulia afya bure!!
 
107 Reactions
Reply
Back
Top Bottom