Tukio litakalopima urais wa Magufuli

Tukio litakalopima urais wa Magufuli

G
Vyanzo vinaeleza kuwa kuna tukio moja zito ambalo kwa vyovyote linaweza kuyumbisha mno urais wa Jiwe na haitokuwa jambo la kushangaza kusikika sauti ndani ya CCM kutaka "afyekelewe mbali."

Details are sketchy, lakini ni matokeo ya power tussles zinazosababisha civil war inayoendelea kimyakimya kwenye corridors of power. Ni hivi, for months kumekuwa na efforts za kumng'oa Jiwe kwa options tatu (a) Bungeni - option iliyokufa kabla haijazaliwa (b) neutralisation - na couple of weeks ago ilikuwa almanusra wamwondoe (c) realpolitik 2020 - odds are heavily stacked against Jiwe within CCM ila "wapinzani" wake wanashindwa kukabiliana nae hadharani.

So, tukio hilo - or rather matukio kadhaa in one - moja kwa moja litajenga picha ya "Mchawi akimaliza kuroga mtaa mzima huhamia kwenye familia yake." Jiwe atakuwa suspect number one, and this thing will haunt him pengine hadi 2020 kama atasalimika.

However, Jiwe being Jiwe anaweza kugeuza ishu hiyo kuwa kisingizio cha kutangaza hali ya hatari, na hiyo itasababisha ukandamizwaji zaidi wa civil liberties na haki za kidemokrasia.

More analysis coming

Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za kitapeli tapeli hizi
 
Kama jiwe atabaki madarakani mpaka 2025, basi ni dhahiri tiss imekuwa dhaifu kuliko hata bunge, watamuachaje mtu ambaye sio rai, muuaji, mtekaji, fisadi na ambaye ameharibu uchumi aendelee kubomoa nchi?
Mimi nasema akifika 2020 itadhihirisha kuwa TISS ni dhaifu kuzidi bunge na speaker wake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Everest Chahali, kwanza thanks for info from deep inside. Kwa vile wewe ni verified member humu na background yako ndio the biggest asset you have ya kuwa trustworthy, hivyo una command a very big respect, ukishuka tuu, kuna watu wanasimamisha kila kitu kwa kujua ni za moto kutoka kule kunako, hivyo nakushauri usitumie majina ya vichochoroni yenye kuonyesha less respect, unaweza kuongea hata kwa codes tuu na tukakuelewa bila kumuita mtu jina hilo, kwa watu wanao mrespect mtu huyo, tuna feel a bit un easy anapoitwa kwa majina ya bezo na respected men like you, hata kama ni yeye mwenyewe alijiita hivyo.

Pili, hao jamaa zako wanakulisha matango pori, take it from me, hakuna kitu kama hicho, kwa sababu ameisha consolidate everything, hao wote unaodhania wanaweza kufanya kitu chochote au kubadili chochote, wote they are nothing at all, ni marionettes tuu!.

P.
Well we just have to wait and see; respect is something that one has earn! It is not a right and it never comes with status. It must be earned!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku ile anaapishwa kuwa Rais huyu Bwana hakuwa amemchoma japo hata mtu mmoja kwa sindano kiganjani, japo kwa bahati mbaya.

Sielewi anauwa watu kwa sababu gani, sitaki kuamini ni kwa sababu za Urais.
 
mkuu chahali wewe uko upande wa jiwe, maana kwa kuleta kwako taarifa za aina hii ni kwa lengo la kumfanya jiwe ajue kuna mkakati dhidi yake, lakini pia kuwafanya wasuka mpango waahirishe maana mchele umeshamwagwa kwenye kuku wengi, (kama alivyofanya ZZK)
 
#2019 tutashuhudia mengi sana katika POLITICAL FIELD.

Assessment wanayofanya CCM juu ya jinsi gani wanatakavyo pambana #2020 na wapinzani kwenye MAJUKWAA inawaumiza kichwa sana, wanajua hilo;

1) Hawakubaliki kabisa.

2) Wameshaharibu sehemu nyingi, zisizo SAFISHIKA (Hata kwa dawa ya kuondoa MADOA) ***Refer matukio ya watu wasiojulikana, kutekwa, kupotea kwa raia, mashambulio ya kujaribu kuwaua wapinzani, kuwafunga, TRA kwa wafanyabiashara, ukandamizwaji, waandishi wa habari kukandamizwa na kutekwa, kuanzisha sheria kandamizi, baadhi ya wakuu wa mikoa kutufitinisha na Nchi zinazotupa misaada, kuwatukana EU kua mabeberu na maneno yasio mazuri na kusahau misaada waliowahi kutusaidia n.k***

3) Ahadi zao HAZIJATIMIZWA.

4) Baada ya kuchukua MADARAKA, waliwageuka RAIA kwa jeuri/kiburi/dharau/kejeli n.k

5) Hawana MAELEZO YENYE MASHIKO kwa baadhi ya maamuzi central government iliokua ikifanya/inayofanya. ***Walivyo watu wa ajabu, wanaona KUNYAMAZISHA watu waaihoji ndio solution, bila kujua UCHAGUZI ukifika watakua wamejikusanyia HOJA ZA KUULIZWA (Zisizojibika).

6) Katika fikra zao kuendelea KUNYAMAZISHA/KUZUIA KUHOJI watu kwa kutumia MABAVU ndio solution, ila kuna mwisho wake #2020.

Ukijumlisha tumebakiza mwaka mmoja tu mpaka kufikia uchaguzi mkuu, ila CCM haijaamua na kuchakua CORRECT PATH TO CAMPAIGN, mpaka sasa hawajapata njia sahihi bado (Wanajidanfanya Kutumbua/Kufukuza watumishi na viongozi ndio raia wanavutiwa nao). Pamoja na kujitapa kua wana wasomi wenye PhD nyingi ila ni FAILURES.!!!

Credibility ya CCM ipo below 20%, they intend to use MALICE/UNDUE INFLUENCE/MISREPRESENTATION/FRAUD ndio njia iliobakia, na iliopo akilini mwao sasa hivi. NA KAMA WAKIDHIBITIWA katika hayo tajwa juu, hawachukui kiti cha urais.

Mwanasiasa pekee aliechagua CORRECT PATH so far, ni Zitto he is smart/intelligent/bright and gifted in politics. Mapema sana kaishachagua njia ya kupita, na anakwenda vyema sana. Na ni mtu atakaekua na NGUVU KUBWA sana (Sitaki kumwelezea kwa undani zaidi, ila usubiri tujionee ATAKAVYO SIMAMA NA HOJA ZA KUWATIA BP CCM kwenye campaign).

Zitto
Hahaaa hahahaaaa.wanasiasa wa mitandaoni.endeleeni kutoa mapovu na kuhutubia.ninavyowaona ni km vile jiwe hawez hata kuimaliza hii wiki madarakani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyanzo vinaeleza kuwa kuna tukio moja zito ambalo kwa vyovyote linaweza kuyumbisha mno urais wa Jiwe na haitokuwa jambo la kushangaza kusikika sauti ndani ya CCM kutaka "afyekelewe mbali."

Details are sketchy, lakini ni matokeo ya power tussles zinazosababisha civil war inayoendelea kimyakimya kwenye corridors of power. Ni hivi, for months kumekuwa na efforts za kumng'oa Jiwe kwa options tatu (a) Bungeni - option iliyokufa kabla haijazaliwa (b) neutralisation - na couple of weeks ago ilikuwa almanusra wamwondoe (c) realpolitik 2020 - odds are heavily stacked against Jiwe within CCM ila "wapinzani" wake wanashindwa kukabiliana nae hadharani.

So, tukio hilo - or rather matukio kadhaa in one - moja kwa moja litajenga picha ya "Mchawi akimaliza kuroga mtaa mzima huhamia kwenye familia yake." Jiwe atakuwa suspect number one, and this thing will haunt him pengine hadi 2020 kama atasalimika.

However, Jiwe being Jiwe anaweza kugeuza ishu hiyo kuwa kisingizio cha kutangaza hali ya hatari, na hiyo itasababisha ukandamizwaji zaidi wa civil liberties na haki za kidemokrasia.

More analysis coming

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzushi mtupu. Wewe mleta mada una hallucinations...
 
Matumizi ya neno 'Jiwe' hunikera sana..

Japokuwa sipo upande wake,hilo neno halifai kutumiwa na mtu kama Evarist Chahali

Hata hivyo huu umbea aliouleta ni 'too cheap'.

Halafu yeye anaona yuko 'well informed'.
Acheni unafiki na uzandiki,ni yeye mwenyewe ndio alijipa hilo jina tena kweupe kabisa inakuwaje nyinyi wafata vibendera mchukie na kumkatalia jina alilojipa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyanzo vinaeleza kuwa kuna tukio moja zito ambalo kwa vyovyote linaweza kuyumbisha mno urais wa Jiwe na haitokuwa jambo la kushangaza kusikika sauti ndani ya CCM kutaka "afyekelewe mbali."

Details are sketchy, lakini ni matokeo ya power tussles zinazosababisha civil war inayoendelea kimyakimya kwenye corridors of power. Ni hivi, for months kumekuwa na efforts za kumng'oa Jiwe kwa options tatu (a) Bungeni - option iliyokufa kabla haijazaliwa (b) neutralisation - na couple of weeks ago ilikuwa almanusra wamwondoe (c) realpolitik 2020 - odds are heavily stacked against Jiwe within CCM ila "wapinzani" wake wanashindwa kukabiliana nae hadharani.

So, tukio hilo - or rather matukio kadhaa in one - moja kwa moja litajenga picha ya "Mchawi akimaliza kuroga mtaa mzima huhamia kwenye familia yake." Jiwe atakuwa suspect number one, and this thing will haunt him pengine hadi 2020 kama atasalimika.

However, Jiwe being Jiwe anaweza kugeuza ishu hiyo kuwa kisingizio cha kutangaza hali ya hatari, na hiyo itasababisha ukandamizwaji zaidi wa civil liberties na haki za kidemokrasia.

More analysis coming

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe ni la kutolewa be or not to be

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Everest Chahali, kwanza thanks for info from deep inside. Kwa vile wewe ni verified member humu na background yako ndio the biggest asset you have ya kuwa trustworthy, hivyo una command a very big respect, ukishuka tuu, kuna watu wanasimamisha kila kitu kwa kujua ni za moto kutoka kule kunako, hivyo nakushauri usitumie majina ya vichochoroni yenye kuonyesha less respect, unaweza kuongea hata kwa codes tuu na tukakuelewa bila kumuita mtu jina hilo, kwa watu wanao mrespect mtu huyo, tuna feel a bit un easy anapoitwa kwa majina ya bezo na respected men like you, hata kama ni yeye mwenyewe alijiita hivyo.

Pili, hao jamaa zako wanakulisha matango pori, take it from me, hakuna kitu kama hicho, kwa sababu ameisha consolidate everything, hao wote unaodhania wanaweza kufanya kitu chochote au kubadili chochote, wote they are nothing at all, ni marionettes tuu!.

P.
So what???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyanzo vinaeleza kuwa kuna tukio moja zito ambalo kwa vyovyote linaweza kuyumbisha mno urais wa Jiwe na haitokuwa jambo la kushangaza kusikika sauti ndani ya CCM kutaka "afyekelewe mbali."

Details are sketchy, lakini ni matokeo ya power tussles zinazosababisha civil war inayoendelea kimyakimya kwenye corridors of power. Ni hivi, for months kumekuwa na efforts za kumng'oa Jiwe kwa options tatu (a) Bungeni - option iliyokufa kabla haijazaliwa (b) neutralisation - na couple of weeks ago ilikuwa almanusra wamwondoe (c) realpolitik 2020 - odds are heavily stacked against Jiwe within CCM ila "wapinzani" wake wanashindwa kukabiliana nae hadharani.

So, tukio hilo - or rather matukio kadhaa in one - moja kwa moja litajenga picha ya "Mchawi akimaliza kuroga mtaa mzima huhamia kwenye familia yake." Jiwe atakuwa suspect number one, and this thing will haunt him pengine hadi 2020 kama atasalimika.

However, Jiwe being Jiwe anaweza kugeuza ishu hiyo kuwa kisingizio cha kutangaza hali ya hatari, na hiyo itasababisha ukandamizwaji zaidi wa civil liberties na haki za kidemokrasia.

More analysis coming

Sent using Jamii Forums mobile app
I don't think so.....yanayoendelea yanathibitisha kwamba 2020 ni kukamilisha ratiba tu.
Tusidanganyane hapa kubadili mambo ni rahisi kiasi hicho
 
jiwe atatufikisha mahala tumwombee.Shule bila fimba wengi huwa hawaamki ,maisha bila mkazo pesa haitakua na adabu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom