Mugabe, albashiri, waliandamana kwa furahaKifo ni jambo LA kuhuzunisha na binadamu wanapaswa kufarijiana kitokeapo.
Lakini vipi pale unapohuzunika na kifo cha jirani yako lakini wanae wana andamana kushangilia kwa vifijo na furaha kifo cha baba yao?
Na kama baba yao ni rafiki yako unajifunza nini hasa kwa vile kuna usemi usemao "ukitaka kumfahamu MTU angalia rafiki zake"?
Raisi Magufuli kaonyesha kuhudhunishwa na kifo cha rafiki yake Rais Nkurunziza na akatoa twita ya majonzi yake.
View attachment 1475437
Lakini RAIA wa Burundi wenyewe wanaandamana kufurahia kifo chake kwa nini?
Mkuu,weka hii video hapo juu kwenye huu uzi itapendeza zaidi.
Nkurunzinza naye alikuwa anabadilisha katiba awe rais wa maisha.Rais Magufuli ni nembo ya Africa mashariki na kati
Lazima atoe neno Kwasababu Ma Rais wengine wanajifunza kwake
Hii ni sherehe , na rais wao wa sasa yuko hoi kitandani
Kifo ni jambo la kuhuzunisha na binadamu wanapaswa kufarijiana kitokeapo.
Lakini vipi pale unapohuzunika na kifo cha jirani yako lakini wanae wana andamana kushangilia kwa vifijo na furaha kifo cha baba yao?
Na kama baba yao ni rafiki yako unajifunza nini hasa kwa vile kuna usemi usemao "ukitaka kumfahamu MTU angalia rafiki zake"?
Raisi Magufuli kaonyesha kuhudhunishwa na kifo cha rafiki yake Rais Nkurunziza na akatoa twita ya majonzi yake.
View attachment 1475437
Lakini RAIA wa Burundi wenyewe wanaandamana kufurahia kifo chake kwa nini?
Nasubiri utabiri wa Mchungaji Mashimo kwa MboweView attachment 1475566
Huyu jamaa june 8 2019 alitabiri Kwamba Nkurunzinza atafariki june 8 2020 , akakamatwa na kufungwa , hata hivyo Nkurunzinza alifariki tarehe 8 June 2020
Shetani hajawahi kumshinda MunguNasubiri utabiri wa Mchungaji Mashimo kwa Mbowe
Endelea kuwaombea wenzako mabaya utaona kitakachokupata ila uwe unaweka ushahidi ili na nduguzo wakumbuke nini ulifanya kabla ya kuondoka mdomo wako ndiyo mauti yakoHakuna kitu kama hicho .
Hahahahahahahahaah!! Naamini kabisa unatània.Rais Magufuli ni nembo ya Africa mashariki na kati
Lazima atoe neno Kwasababu Ma Rais wengine wanajifunza kwake
Inasemekana mwisho wa siku alilambwa makofi .Huyo mchungaji wa CCM alisha puuzwa hata stendi za mabasi watu wamekushtukieni
View attachment 1475610