Tukio hili linatupa fundisho gani?

Tetesi tuu za kigogo2014 baada ya kutoka Lindi zilileta taharuki kubwa sana. Kwa maumivu nakumbuka Siku ya kutoka hadharani kuna mtu alisindikizwa na wimbo wa Gozbeth wa "hauwezi kushindana na mwamadamu mwenye kinywa"
Nilidhani baada ya pale somo litakuwa limeeleweka lakini kumbe ilikuwa kama kuchochea moyo mgumu wa farao
Wale wazee wa ntwara walikosea kulegeza, wangeshikilia pale pale tungeanza sie kabla ya Burundi
 
Hakuna watu wanastress kama chadema kwa sasa!

Magufuli atamaliza muda wake mtaletewa chuma kingine, na utaendelea kulia hivi hivi.
Kweli mkuu awajui kua ata Nkurunzinza alikua Chuma na Jiwe kweli kweli
 
Nkurunziza yupo kwenye friji saa hizi aliwapiga Sana x wenzake kulinda tumbo lake.Amekimbizana na dunia kaishia kuukimbiza upepo tu.
 
Back
Top Bottom