Tukio hili linatupa fundisho gani?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,705
71,013
Kifo ni jambo la kuhuzunisha na binadamu wanapaswa kufarijiana kitokeapo.

Lakini vipi pale unapohuzunika na kifo cha jirani yako lakini wanae wana andamana kushangilia kwa vifijo na furaha kifo cha baba yao?
Na kama baba yao ni rafiki yako unajifunza nini hasa kwa vile kuna usemi usemao "ukitaka kumfahamu MTU angalia rafiki zake"?

Raisi Magufuli kaonyesha kuhudhunishwa na kifo cha rafiki yake Rais Nkurunziza na akatoa twita ya majonzi yake.

C2AC41D8-B708-4BA3-A9F7-E31F8B1FAAE0.jpeg

Lakini RAIA wa Burundi wenyewe wanaandamana kufurahia kifo chake kwa nini?
Angalia jinsi wanavyo onyesha furaha yao!
 
Kifo ni jambo LA kuhuzunisha na binadamu wanapaswa kufarijiana kitokeapo.
Lakini vipi pale unapohuzunika na kifo cha jirani yako lakini wanae wana andamana kushangilia kwa vifijo na furaha kifo cha baba yao?
Na kama baba yao ni rafiki yako unajifunza nini hasa kwa vile kuna usemi usemao "ukitaka kumfahamu MTU angalia rafiki zake"?
Raisi Magufuli kaonyesha kuhudhunishwa na kifo cha rafiki yake Rais Nkurunziza na akatoa twita ya majonzi yake.
View attachment 1475437

Lakini RAIA wa Burundi wenyewe wanaandamana kufurahia kifo chake kwa nini?
Mugabe, albashiri, waliandamana kwa furaha
 
Corona imeahidi kula sahani moja na Madikteta wa kiafrica...imepiga kambi haondoki leo ama kesho....
Watu Burundi wamefurahia kwa maandamano makubwa baada ya jamaa kuingia kwa nyumba yake ya milele isiyo na umeme, maji, wala walinzi na mbaya zaidi ze wife katuachia sisi warithi wa wajane...kujivinjari.!!

Haya ndiyo maisha....!! Corona endelea kutenda miujiza bado wapo wengi tu!!
 
Kifo ni jambo la kuhuzunisha na binadamu wanapaswa kufarijiana kitokeapo.

Lakini vipi pale unapohuzunika na kifo cha jirani yako lakini wanae wana andamana kushangilia kwa vifijo na furaha kifo cha baba yao?
Na kama baba yao ni rafiki yako unajifunza nini hasa kwa vile kuna usemi usemao "ukitaka kumfahamu MTU angalia rafiki zake"?

Raisi Magufuli kaonyesha kuhudhunishwa na kifo cha rafiki yake Rais Nkurunziza na akatoa twita ya majonzi yake.

View attachment 1475437

Lakini RAIA wa Burundi wenyewe wanaandamana kufurahia kifo chake kwa nini?
_studio_microphone_ ALIYETABIRI KIFO CHA RAIS NKURUNZINZA ALIKAMATWA NA KUFUGWA GEREZANI.  Tar...jpg

Huyu jamaa anaitwa Pierre Barakikana , alijizolea umaarufu kwa utabiri wake , june 8 2019 alitabiri Kwamba Nkurunzinza atafariki june 8 2020 , akakamatwa na kufungwa , hata hivyo Nkurunzinza alifariki tarehe 8 June 2020
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom