KIBITI BOYZ
Member
- Mar 31, 2017
- 14
- 32
Pole sana mkuu Gololi oneNakumbuka siku kama ya leo tarehe 21/04/2016 nilikuwa katika mtihani mzito ambao sitakuja usahau katika maisha yangu yaliyobakia hapa duniani, Niliondokewa na mama yangu mzazi Duniani tarehe 19/04/2017 na tulimzika tarehe 21/04/2017 mkoani Tanga Wilayani Muheza. Ndugu zangu had leo hii sina mama mwenzenu, kitu hiki kinaniumiza sana katika maisha yangu ya kila siku. Siwezi kusahau na huwa halinitoki moyoni. Naumia sana. Bali namuomba mwenyezi mungu amuepushe na adhabu ya kaburi na amuwekee mwanga katika kaburi lake. "Ameen"
Pole sana mkuu KIBITI BOYZHESHIMA KWENU WANAJUKWAA.
Mnamo mwaka 2000 mwezi February tukiwa shamba kwa kilimo cha mpunga katika wilaya ya Kilombero(Ifakara) maeneo ya Mchombe mashambani sehemu inayoitwa Simbagungile tulivamiwa na simba majira ya saa 6 kasoro.
Nyumba ilikuwa ya chini yaani imejengwa kwa miti tu na kutumia nyasi kama ukuta na juu nkuezeka kwa nyasi, walikuwa simba wawili na sisi ndani tulikuwa watu wanne, punde tukajikuta katika shambulio nashukuru nifakiwa kupanda juu ya kitanda chetu cha miti na kupanda juu ya nguzo moja wapo ya kile kinyumba chetu.
Huku nikiwa juu nilishuhudia simba wakiwatafuna wale ndugu zangu bila huruma hadi kuwaua wote watatu na kuwatafuna na kubakiza mabaki kama ngozi, fuvu la kichwa na miguu na mikono kwa wote. Walipomaliza wakaingia huku na kule na kutoka nje ya nyumba baadae mmoja akarudi ndani na kutoka pia wale simba walienda kuvamia nyumba zingine mbili.
R.I.P ALL.
JE WEWE MWENZANGU NI TUKIO LIPI AMBALO HUTOWEZA KULISAHAU?
Karibu
Ndugu zangu had leo hii sina mama mwenzenu, kitu hiki kinaniumiza sana katika maisha yangu ya kila siku. Siwezi kusahau na huwa halinitoki moyoni. Naumia sana. Bali namuomba mwenyezi mungu amuepushe na adhabu ya kaburi na amuwekee mwanga katika kaburi lake. "Ameen"
Nakumbuka siku kama ya leo tarehe 21/04/2016 nilikuwa katika mtihani mzito ambao sitakuja usahau katika maisha yangu yaliyobakia hapa duniani, Niliondokewa na mama yangu mzazi Duniani tarehe 19/04/2017 na tulimzika tarehe 21/04/2017 mkoani Tanga Wilayani Muheza. Ndugu zangu had leo hii sina mama mwenzenu, kitu hiki kinaniumiza sana katika maisha yangu ya kila siku. Siwezi kusahau na huwa halinitoki moyoni. Naumia sana. Bali namuomba mwenyezi mungu amuepushe na adhabu ya kaburi na amuwekee mwanga katika kaburi lake. "Ameen"
Wewe yaani Ndugu zako wanatafunwa na Simba unaangalia tu bila hata kupiga makelele au kurusha hata udongo au kuwakojolea hao Simba, RIP Ndugu wa huyu jamaaHESHIMA KWENU WANAJUKWAA.
Mnamo mwaka 2000 mwezi February tukiwa shamba kwa kilimo cha mpunga katika wilaya ya Kilombero(Ifakara) maeneo ya Mchombe mashambani sehemu inayoitwa Simbagungile tulivamiwa na simba majira ya saa 6 kasoro.
Nyumba ilikuwa ya chini yaani imejengwa kwa miti tu na kutumia nyasi kama ukuta na juu nkuezeka kwa nyasi, walikuwa simba wawili na sisi ndani tulikuwa watu wanne, punde tukajikuta katika shambulio nashukuru nifakiwa kupanda juu ya kitanda chetu cha miti na kupanda juu ya nguzo moja wapo ya kile kinyumba chetu.
Huku nikiwa juu nilishuhudia simba wakiwatafuna wale ndugu zangu bila huruma hadi kuwaua wote watatu na kuwatafuna na kubakiza mabaki kama ngozi, fuvu la kichwa na miguu na mikono kwa wote. Walipomaliza wakaingia huku na kule na kutoka nje ya nyumba baadae mmoja akarudi ndani na kutoka pia wale simba walienda kuvamia nyumba zingine mbili.
R.I.P ALL.
JE WEWE MWENZANGU NI TUKIO LIPI AMBALO HUTOWEZA KULISAHAU?
Karibu
Sio wewe tu ndugu yangu tuko wengi.
R.I.P Our Moms.
pole sana Mungu anakusudi na wewe badoHESHIMA KWENU WANAJUKWAA.
Mnamo mwaka 2000 mwezi February tukiwa shamba kwa kilimo cha mpunga katika wilaya ya Kilombero(Ifakara) maeneo ya Mchombe mashambani sehemu inayoitwa Simbagungile tulivamiwa na simba majira ya saa 6 kasoro.
Nyumba ilikuwa ya chini yaani imejengwa kwa miti tu na kutumia nyasi kama ukuta na juu nkuezeka kwa nyasi, walikuwa simba wawili na sisi ndani tulikuwa watu wanne, punde tukajikuta katika shambulio nashukuru nifakiwa kupanda juu ya kitanda chetu cha miti na kupanda juu ya nguzo moja wapo ya kile kinyumba chetu.
Huku nikiwa juu nilishuhudia simba wakiwatafuna wale ndugu zangu bila huruma hadi kuwaua wote watatu na kuwatafuna na kubakiza mabaki kama ngozi, fuvu la kichwa na miguu na mikono kwa wote. Walipomaliza wakaingia huku na kule na kutoka nje ya nyumba baadae mmoja akarudi ndani na kutoka pia wale simba walienda kuvamia nyumba zingine mbili.
R.I.P ALL.
JE WEWE MWENZANGU NI TUKIO LIPI AMBALO HUTOWEZA KULISAHAU?
Karibu
HESHIMA KWENU WANAJUKWAA.

Wewe ni mtu wa hovyo kabisa yaani Ndugu zako wanatafunwa na Simba unaangalia tu bila hata kupiga makelele au kurusha hata udongo au kuwakojolea hao Simba, RIP Ndugu wa huyu jamaa
Nakumbuka siku kama ya leo tarehe 21/04/2016 nilikuwa katika mtihani mzito ambao sitakuja usahau katika maisha yangu yaliyobakia hapa duniani, Niliondokewa na mama yangu mzazi Duniani tarehe 19/04/2017 na tulimzika tarehe 21/04/2017 mkoani Tanga Wilayani Muheza. Ndugu zangu had leo hii sina mama mwenzenu, kitu hiki kinaniumiza sana katika maisha yangu ya kila siku. Siwezi kusahau na huwa halinitoki moyoni. Naumia sana. Bali namuomba mwenyezi mungu amuepushe na adhabu ya kaburi na amuwekee mwanga katika kaburi lake. "Ameen"
Wewe ni mtu wa hovyo kabisa yaani Ndugu zako wanatafunwa na Simba unaangalia tu bila hata kupiga makelele au kurusha hata udongo au kuwakojolea hao Simba, RIP Ndugu wa huyu jamaa
Nimeshikwa na hasira na comment zenu nyie jamaa bila kujali kama mleta mada habari yake ni ya kweli au sio. Kuweni waungwana na wenye kufikiria kabla ya kuongea. Kupona kwake ni kama muujiza. Kama watu watatu walioliwa wameshindwa kupambana na simba wawili je yeye mmoja angeweza kweli? Sio kila jambo mnaleta mzaha. Kuna kiwango cha mwisho cha ujasiri hasa kama umeshitukizwa hauna silaha.Ndugu yangu kama ni kweli pole sana. Ila napata mashaka, yani umejiokoa na ukawaacha ndugu zako tena wa damu wakitafunwa na wewe umetulia tu unawaangalia? Dah.