Tukinunua umeme wa TANESCO units ziende automatically kwenye mita ya kisasa. Tuachane na habari za kuingiza TOKEN. Is this fissible and implementable?

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
12,178
2,000
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya.

Tukinunua umeme wa TANESCO units ziende automatically kwenye mita ya kisasa. Tuachane na habari za kuingiza TOKEN. Is this fissible and implementable?

Hivi, wataalam wa ICT wa TANESCO hawawezi kuja na mita mpya na za kisasa za umeme ambazo zinakuwa linked na servers zao kiasi kwamba ukinunua umeme kwa njia za kutumia electronic machine kama simu ya kiganjani ama maxmalipo basi zile units zinaenda automatically ndani ya mita kama vile umelipia king'amuzi cha DSTV??? Tunaweza kuachana na haya masuala ya kuingiza TOKEN??? Is this possible to implement wakuu??

VODACOM WAMEKWAPUA WAZO LANGU BILA RIDHAA
KIJANA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA.
IMG_20181203_121456_984.jpg
 
hewizet

JF-Expert Member
Mar 17, 2013
2,234
2,000
nyumba za kupanga zile ambazo mnashea meter moja vipi?? itakuaje??
 
Diason David

Verified Member
Aug 2, 2018
7,567
1,995
Hivi munahela ya hiyo technology ya mfumo kama simu bro maana hata ulaya wana nunu kwa mfumo wa mulio upinga mwanzoni analogy to digital

Siti ya mtu
 
BAF

JF-Expert Member
Apr 28, 2017
418
1,000
Umetisha mzee baba,Kama Ni Nyumba ya kupanga haina shida maana wakati unanunua umeme unaingiza meter number ambayo unataka umeme uingie,
Inawezekana kabisa,but pendekezo lango andika hii thread kule kwenye thread ya Tanesco nahisi wataipata mapema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MUSONI

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
825
1,000
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya.

Tukinunua umeme wa TANESCO units ziende automatically kwenye mita ya kisasa. Tuachane na habari za kuingiza TOKEN. Is this fissible and implementable?

Hivi, wataalam wa ICT wa TANESCO hawawezi kuja na mita mpya na za kisasa za umeme ambazo zinakuwa linked na servers zao kiasi kwamba ukinunua umeme kwa njia za kutumia electronic machine kama simu ya kiganjani ama maxmalipo basi zile units zinaenda automatically ndani ya mita kama vile umelipia king'amuzi cha DSTV??? Tunaweza kuachana na haya masuala ya kuingiza TOKEN??? Is this possible to implement wakuu??

KIJANA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA.
View attachment 1038433
HIZI METER SASA ZIPO UNAPEWA GADGET NYUMBANI UNANUA AMA UKIWA PAHALA UNAPATA MOJA BARIDI WAKISEMA HALI TETE UNANUNUA FASTER NA UNAINGIA MOJA KWA MOJA …. NEW INSTALATIONS ZOTE NDIO MAPANGO MZIMA...
 
Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,350
2,000
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya.

Tukinunua umeme wa TANESCO units ziende automatically kwenye mita ya kisasa. Tuachane na habari za kuingiza TOKEN. Is this fissible and implementable?

Hivi, wataalam wa ICT wa TANESCO hawawezi kuja na mita mpya na za kisasa za umeme ambazo zinakuwa linked na servers zao kiasi kwamba ukinunua umeme kwa njia za kutumia electronic machine kama simu ya kiganjani ama maxmalipo basi zile units zinaenda automatically ndani ya mita kama vile umelipia king'amuzi cha DSTV??? Tunaweza kuachana na haya masuala ya kuingiza TOKEN??? Is this possible to implement wakuu??

KIJANA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA.
View attachment 1038433

Say it louder please....
volume.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom