Tukatae tukubali kuna wanawake warembo jamani

Ingekuwa vizuri ukatuwekea wewe kwanza hao unaowawaza wakoje sie tuone maana urembo wa mwanamke unategemea yule anayemuona, tena akiwa halisia sio aliyepita saluni na kuongezewa vionjo.

Fatilia thread nimeshaweka hiyo nyngine basi weka na wewe huyo mrembo wako
 

Attachments

  • 1421274643683.jpg
    34.5 KB · Views: 1,631
Mmh
Sura sio nzuri.....hujaoba wazuri ww...mi mwenywe kuna wadada wenzangu nwakubali...

Hii kweli... kuna siku tulipishana na msichana njiani kiukweli alikuwa mzuri tukajua ni sisi tu tunamtaza... kwa pembeni yetu walikuwapo wadada hadi nao walikiri kwa uzuri wa yule dada.

Kuna wadada kwa muonekana wako vizuri sana
 
Kama hiki??
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1421309247271.jpg
    8 KB · Views: 625
Kumbe mnawaongelea warembo Mimi nilijua wazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…