KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,765
- 39,522
Sijawahi kuwaona wanawake warembo maisha mwangu....lakini niliwahi kuona wanawake wenye adabu ,stara na haiba za kuvutia...machoni na rohoni........

Jamii forums kata ya MMU........Unaishi kijiji gani?
Na kuna wanume wabaya uuh mpaka basi
Kama Mimi eeeeh
kwa kweli wapo waliojaaliwa
![]()
Sie tunataka chini bwana huko juu si mfano wa mungu...
hebu fafanua...