chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,764
- 2,566
Hilo...halina ubishi. ILa hao warembo sana ukiwataka ...ili awe wako...usiwe na presha/ usiwe na hasira coz utazeeka fasta, usiwe na gubu..utakufa kihoro bana. Wew furahia unapomuona, unapomgegeda, ukiwa mbali naye usiwaze kumegewa.
Hapo life yako itakuwa flexh. Tena usiichubguze cm yake, na kama ni sekretary ....ama mhasibu, baaasi ndg yangu kuwa mpoooleee kabisa...Maana utakuwa umeelewa kwambaa, MCHOYO HANA RAFKI....NA KIZURI...KULA NA WENZIO. Mshukuru Mungu kwa yoteeee.
Una maana gani kusema mhasibu....ujue unagusa maisha ya watu...