Tukatae tukubali kuna wanawake warembo jamani

Tukatae tukubali kuna wanawake warembo jamani

Jamani msiwe mnaanzisha thread za hivi, mnatufanya tujisikie vibaya tuliofanana sana na baba
 
Yeah mkuu, me nikikutana nao huwa nawasimamisha na kuwaambia ukweli, mf: we ni noma, we mzuri, daaah MUNGU kakupendelea....
 
Back
Top Bottom