nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,701
- 14,104
Naam mie ni muumini wa mambo ya kuipa nafsi raha kimwili na kiroho,
Hapa na pale nikaenda kunako kijiji fedenge kumtembelea mchizi wangu wa kitambo toka shule ya Msingi,
Huyu msela wangu naye ni muumini wa pombe za nafaka,,,basi mdogo mdogo tukawa tunaelekea kunako eneo la tukio.
Tukaona isiwe taabu bora tupite njia ya mkato ili kuokoa kiu zetu,
Mdogomdogo tukakatiza kwenye kijinjia cha nyika pori kwo bondeni tukaona kama fuko jeusi,,,mmh roho zikatusita,,,hata hivyo tukaona bora tusagelee laweza kuwa fuko la pesa..lahaulaaaa...
Kumbe ni miili ya watu iliyoharibika,,,kweli Tanzania yetu si ile tuijuayo tena,,,,
Tumefika kilabuni tumekunywa pombe hatulewi roho zimetuchafuka,,hatuthubutu kumueleza mtu,,manake kwa sasa mambo yalivyo ya kissenggee unaweza kuangushiwa jumba bovu mamaee,,,daaah ile njia hatutapita tena,