nasrimgambo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,858
- 2,348
Habari,
Kuna hili soko linaitwa soko la hisa la Dar es Salaam (DSE) hapa nchini kwetu na kuna wauzaji wa hisa na hizo bond
Wengi tunavutiwa na habari zao hawa watu wa hisa na bond na pengine kuna fursa nzuri tu kwetu vijana
Ijapokuwa tunafahamu hisa ni nini na bondi ni nini, tupo wengi ambao bado hatujapata taarifa muhimu za kutosha
kuhusiana na soko hili,
Pengine kwa kukosa huko taarifa kuna fanya tukose kuchangamkia fursa ambazo huenda zingetupusha na kilio cha ukosefu wa ajira na kipato
Wenye uzoefu na mnaoelewa hebu tufundisheni hapa tuelimike
Kwanza kwa kujibu maswali haya;
1) najiunga vipi kupata vibali vya kuwa muuza hisa?
2)vigezo vya kuwa muuza hisa
3) mtaji u nahitajika kiasi gani?
4) changamoto zilizoko
5) mafanikio yake yakoje kwa hapa nchini mwetu
6)gharama ya biashara hii ya hisa na bondi kwa ujumla etc
Wadau wengine karibuni muingezee maswali yenu,