Tujuzane status za account zetu TCU

according to TCU wanasema preference will be given to candidate with C or above in chemistry and biology provided he /she have E in Physics.kwa anaetaka MD or pharmacy.

Unaongelea classification ya zamani au hii ya BRN?

Kuna watu wana B za Bio anc Chem lakini wameachwa...

Ni muda muafaka sasa wadau wakubali kwamba TCU inataka kutuharibia elimu!
 
juz nmefanya 2nd selection nikaambiwa selected kweny MEDICAL LAB muhmbil cha ajab jana naingia kwenye profile yangu nakta nmeambiwa nfanye 2nd selection ,kuangalia mambo ya kchagua yalyo bak kwa Science elimu kidogo ndoinamkopo japo na wenyew n kdogo bas nkachagua Education st.joseph campus ya Arusha nikakubaliwa, mm nmesoma CBG nakaufaulu kapo ivi BBB , ndoto zangu ilikuwa n kusomea mambo ya Afya eg-MEDICAL LAB, MD, Nursing etc, wanajamv naomba msaada wa mawazo kama kuna alternative ambayo naweza kfanya ili ndoto zang ztimie', mawazo yenu yna umuhm sana kwang

ufaulu wako ni mkubwa usijaribu kuzima ndoto zako kisa unataka majirani wajue upo chuo kikuu my take hairisha mwaka afu mwakani apply tena ila ujaze vyuo vyenye less competition kama st francis,saut songea,kampala,kairuki&imtu hivyo vinavyojulikana viweke chin au usiviweke kabisa..amin utapata
 
Kuahirisha mwaka nasikia mpaka uandike barua tcu kuna ukwel hapo ndugu?
Au unafuata process gan?

pole sna kaka kwa mkasa uliokukuta.mwaka jana ilinitokea case kama hii na nilikuwa jkt.nilitaman kufa lakn nikajaribu kuwasiliana na watu wa nyumbani wakawa wamenijazia second round coz ya sociology hapo mliman .dah sikuwa na jinsi ikabidi niende chuo ki ukweli maisha yalikuwa tait sana asikwambie mtu.ukizingatia hata mkopo sikuwa nao hali ya kifedha nayo haikuwa nzuri kwa ubande wa home.nikasema hapana lazima nifanye kitu nikawatimbia tcu nikawapa mpango mzima na ugumu wa chuo ulivyo.wakaniambia inawezekana ukaacha chuo na kuomba tena mwakani.basi nikaandika barua chuoni ya kuacha kabisa chuo sio kusimama yaan kuacha masomo.wakati nasubiri majibu nikaomba na mkopo ilikuwa mwezi wa sita mwaka huu.chuo wakawa wamenijibu kutokana na maelezo yangu yalivyokuwa yamejitosheleza.nikawaandikia na tcu barua ya ku re-apply nikaambatanisha na majibua ya chuoni nikawa nimewapelekea basi wakaipokea wakaniambia haina shida wewe nenda kaapply.ndo nikawa nimetafuta elfu hamsin yao nikaomba juzi wametoa majina ya waliokosea namshukuru mungu langu halipo nimeingia kwenye acountg yangu imeandika procesed succsesfll.you have been selected ndo nawasikilizia mpaka sasa hvi.na ikumbukwe kuwa mwaka jana niliomba education kwa vyuo kama udsm,duce,udom,ardh,muce ila mwaka huu nikajaribu kuchanganya vyuo mfano udsm,udom,duce,saut,ruaha
 
Siku hizi ardhi wana education?

Kwa anaejua hili,hasa waliowahi tumia cas;je, kwenye selection ya hizo coz tano mwanafunzi alizoomba wanamchagua mwnfnz kwa kufuata prfence yake alivoomba au ni vice versa au randomly???
 
Yaa wanafuata prefernce yako ,lakini pia wanaangalia ushindani

Mfano,chaguo lako la kwanza wenzio wakikuzidi points wanashuka kuangalia la pili hivyo hivyo hadi la mwisho

That's it
 
Kwan mbona hapa jf sijawaelewa coz mm ndo nilieapost io newz yenye kichwa cha habari kisemacho " maajabu ya TCU" cha ajabu tokea asubui kila nikiingia Mazda angu siion naona mAda ya huyu kijana paul na kichwa cha habar ni to faut kwan Luna nn au nany mnataka kuwa kama TCU.
 
wameunganisha thread....
 
polen kwa waliopatwa na tatizo kama hilo.....
binafsi nimeumia nina mdogi angu anaambiwa afanye selection upya ya second round coz kuna watu hawajawa selected ktk vyuo asa shida ni pale ambapo katika hizo faculty hakuna hata moja inayoendana na kile anachotaka kusomea....

hii inasikitisha jaman yan mtu usome kitu ambacho hukuwa na wazo nacho na mkopo usipewe?? hadi hasira yan
 
Yan mankam we a cha tu na Leo hats akaut angu imegoma kufunguka
 
ufaulu wako ni mkubwa usijaribu kuzima ndoto zako kisa unataka majirani wajue upo chuo kikuu my take hairisha mwaka afu mwakani apply tena ila ujaze vyuo vyenye less competition kama st francis,saut songea,kampala,kairuki&imtu hivyo vinavyojulikana viweke chin au usiviweke kabisa..amin utapata

tatzo mkuu nmeshachaguliwa hyo st.joseph, sasa cjui nifate utaratbu gan ili kuahirsha mwaka
 
Back
Top Bottom