Mr Misifa
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 255
- 470
Habari za wakati huu wandugu, sina shaka mko poa kabisaa eebana leo naomba tusaidiane na kuelekezana setting mhimu na za lazima kweny simu zetu hasa hasa kweny upande wa setting za siri zilizofichwa kwenye DEVELOPER OPTIONS, najua na nina uhakika hiki kitu au jila DEVELOPER OPTIONS sio kigeni kukiskia hasa kwa ww unaetumia smartphone...
Kwann ziitwe settings za sili zilizofichwa!!je ni kweli kuna settings ukizifanya simu yako unakuwa tamu, kali na kasi au slowly kweny kufungua mafile na internet pia na muonekano wa picha na video !!??
Mimi huwa natamani sana nizijue angalau settings zote za mhimu kweny huu upande japo nmefanikiwa kuzifahamu chache tu hasa zile zinafanya simu iwe fasta au nzito zile za windows animation scale , transtion na Animator nk, usb debug na vitu vidogo vidogo ila najua humu.
Kuna magwiji humu wa hizo settings naomba leo tusiwe wachoyo tumwage mambo yote hadharani yaani kila settings unayoijua ww ikifanywa kweny simu inakuwa tanu weka hapa ili watu wasett kwa simu zao na wa enjoy simu, maana ndo dhumunin la wengi mpaka kununua simu za gharama la sivo tungenunua tu za tochi... Karibuni wote kwa michango yenu.. Aksanteni..