Tujuzane mipangilio(setting) mhimu kwenye simu zetu, hasa developer options

Tujuzane mipangilio(setting) mhimu kwenye simu zetu, hasa developer options

Hapo kwenye memory, inaonyesha uwezo na matumizi ya RAM,na jinsi apps zinavyotumika.View attachment 1224027
Screenshot_20191005_102047_com.android.settings.jpeg
 
DEMO MODE, Inahusisha kubadilisha mwonekano wa TASKBAR,pale juu kama network.Ukiweka DEMO MODE ON halafu chini ukaruhusu SHOW DEMO MODE utaona inakuonyesha alama ya WI-FI pekee kwenye networks signs,alama za Mtandao kutoka Mobile carrier/operators Kama TIGO, VODACOM, HALOTEL, AIRTEL, hazitaonekana.
Screenshot_20191005_103727_com.android.systemui.jpeg
Screenshot_20191005_103801_com.android.systemui.jpeg
Screenshot_20191005_104752_com.android.systemui.jpeg
 
DEBUGGING
Habari za wakati huu wandugu, sina shaka mko poa kabisaa eebana leo naomba tusaidiane na kuelekezana setting mhimu na za lazima kweny simu zetu hasa hasa kweny upande wa setting za siri zilizofichwa kwenye DEVELOPER OPTIONS, najua na nina uhakika hiki kitu au jila DEVELOPER OPTIONS sio kigeni kukiskia hasa kwa ww unaetumia smartphone...

Kwann ziitwe settings za sili zilizofichwa!!je ni kweli kuna settings ukizifanya simu yako unakuwa tamu, kali na kasi au slowly kweny kufungua mafile na internet pia na muonekano wa picha na video !!??

Mimi huwa natamani sana nizijue angalau settings zote za mhimu kweny huu upande japo nmefanikiwa kuzifahamu chache tu hasa zile zinafanya simu iwe fasta au nzito zile za windows animation scale , transtion na Animator nk, usb debug na vitu vidogo vidogo ila najua humu.

Kuna magwiji humu wa hizo settings naomba leo tusiwe wachoyo tumwage mambo yote hadharani yaani kila settings unayoijua ww ikifanywa kweny simu inakuwa tanu weka hapa ili watu wasett kwa simu zao na wa enjoy simu, maana ndo dhumunin la wengi mpaka kununua simu za gharama la sivo tungenunua tu za tochi... Karibuni wote kwa michango yenu.. Aksanteni.. View attachment 1223920View attachment 1223921View attachment 1223922View attachment 1223923View attachment 1223924
Kwenye USB DEBUGGING ukiweka ON, hiyo inamaanisha unaweza ku install APP yoyote kwenye simu yako kwa kutumia Computer ya Windows au Apple kwa USB CABLE.Hiyo imeweka kwa kuwa Kuna baadhi ya APPS ili uwe nazo inakubidi utumie PC.

Na ukitaka ku ROOT smartphone pia kwa kutumia APPS za PC,na pia Ku CRACK PASSWORDS.
 
INCREASE READABILITY IN SUNLIGHT,hapa ukiwa sehemu yenye mwanga wa jua,kama nje simu yako itajiongeza mwanga automatically kulingana na mahitaji ya uoni wa sehemu husika.
Screenshot_20191005_110416_com.android.settings.jpeg
 
DEBUGGINGKwenye USB DEBUGGING ukiweka ON, hiyo inamaanisha unaweza ku install APP yoyote kwenye simu yako kwa kutumia Computer ya Windows au Apple kwa USB CABLE.Hiyo imeweka kwa kuwa Kuna baadhi ya APPS ili uwe nazo inakubidi utumie PC.

Na ukitaka ku ROOT smartphone pia kwa kutumia APPS za PC,na pia Ku CRACK PASSWORDS.
Endeleeni kutupa shule asee....
 
SELECT USB CONFIGURATION,hapa ukichomeka Smartphone yako kwa kutumia USB kwenye MEDIA yoyote,kwa mfano PC automatically itafanya chaguo lako automatically kama ni ku Charge only,MTP (Media Transfer Protocol),PTP (Picture Transfer Protocol),RNDIS (USB Ethernet),Audio source au MID.
Screenshot_20191005_110804_com.android.settings.jpeg
 
SHOW BLUETOOTH DEVICE WITHOUT NAMES.

Ukiunganisha BLUETOOTH devices kati ya yakwako na nyingine hazitaonekana kwa majina, zitaonekana kwa IP ADDRESS TU.

ENABLE IN-BAND RINGING.

Hii inamaanisha Ukiwa kwa mfano umeunganisha Bluetooth yako kwenye spika,miito (ringtones) ,na calls zitasikika Kwenye hiyo spika.
Screenshot_20191005_111850_com.android.settings.jpeg
 
BLUETOOTH AUTO CONNECT.

Ukifika mahali kuna Bluetooth audio device,yakwako ikinusa tu tayari itaungana na hiyo device.Unaweza kucheza nyimbo,movies,podcasts zitasikika Kwenye spika.
Screenshot_20191005_112439_com.android.settings.jpeg
 
INPUT:

SHOW TOUCHES.
(1)SHOW VISUAL FEEDBACK FOR TOUCHES.
Hapa kila ulipogusa kwenye screen yako kuna alama ya doa inajitokeza kuonyesha ulipogusa.Angalia hiyo video,na kwenye picha pia kuna hiyo alama kuonyesha nilipogusa na kidole.
Screenshot_20191005_113904_com.microsoft.launcher.jpeg
Screenshot_20191005_115307_com.microsoft.launcher.jpeg
Screenshot_20191005_115322_com.microsoft.launcher.jpeg
Screenshot_20191005_115502_com.microsoft.emmx.jpeg
Screenshot_20191005_115754_com.monect.portable.jpeg
 
DRAWING:
(1)SHOW SURFACE UPDATES
Kunakuwa na mwanga wa flash,kila utendaji kazi wa smartphone yako unapofanyika, angalia video
 
Back
Top Bottom