Tujuzane mipangilio(setting) mhimu kwenye simu zetu, hasa developer options

Mr Misifa

JF-Expert Member
Sep 13, 2019
255
470
Habari za wakati huu wandugu, sina shaka mko poa kabisaa eebana leo naomba tusaidiane na kuelekezana setting mhimu na za lazima kweny simu zetu hasa hasa kweny upande wa setting za siri zilizofichwa kwenye DEVELOPER OPTIONS, najua na nina uhakika hiki kitu au jila DEVELOPER OPTIONS sio kigeni kukiskia hasa kwa ww unaetumia smartphone...

Kwann ziitwe settings za sili zilizofichwa!!je ni kweli kuna settings ukizifanya simu yako unakuwa tamu, kali na kasi au slowly kweny kufungua mafile na internet pia na muonekano wa picha na video !!??

Mimi huwa natamani sana nizijue angalau settings zote za mhimu kweny huu upande japo nmefanikiwa kuzifahamu chache tu hasa zile zinafanya simu iwe fasta au nzito zile za windows animation scale , transtion na Animator nk, usb debug na vitu vidogo vidogo ila najua humu.

Kuna magwiji humu wa hizo settings naomba leo tusiwe wachoyo tumwage mambo yote hadharani yaani kila settings unayoijua ww ikifanywa kweny simu inakuwa tanu weka hapa ili watu wasett kwa simu zao na wa enjoy simu, maana ndo dhumunin la wengi mpaka kununua simu za gharama la sivo tungenunua tu za tochi... Karibuni wote kwa michango yenu.. Aksanteni..
Screenshot_20191005-072053_Settings.jpeg
Screenshot_20191005-065949_Settings.jpeg
Screenshot_20191005-065122_Settings.jpeg
Screenshot_20191005-065155_Settings.jpeg
Screenshot_20191005-064902_Settings.jpeg
 
Mkuu sjawahi kutumia simunza apple au Windows nasemea kwa android zote ila hii yangu mimi ni Samsung a30 mkuu ukiwezesha hii setting ya devoloper simu yako inakuwa ya kijanja zaidi japo ni pia cjui settings nyingi kwe uapnde huu nadhani wajuzi wanaona namna ambavo elimu juu ya sett hizi ni mhimu na kuna watu hata hawaijui wakat wanatumia smartphone jmn njooni mtoe elimu muwasaidie watu huku.
Hiyo ni OS gani? Ni Android or? Mbona hujatuelekeza jinsi ya kuifikia hiyo developer options, pia hizo options zina maana gani, tusaidie mkuu.
 
Habari za wakati huu wandugu, sina shaka mko poa kabisaa eebana leo naomba tusaidiane na kuelekezana setting mhimu na za lazima kweny simu zetu hasa hasa kweny upande wa setting za siri zilizofichwa kwenye DEVELOPER OPTIONS, najua na nina uhakika hiki kitu au jila DEVELOPER OPTIONS sio kigeni kukiskia hasa kwa ww unaetumia smartphone...

Kwann ziitwe settings za sili zilizofichwa!!je ni kweli kuna settings ukizifanya simu yako unakuwa tamu, kali na kasi au slowly kweny kufungua mafile na internet pia na muonekano wa picha na video !!??

Mimi huwa natamani sana nizijue angalau settings zote za mhimu kweny huu upande japo nmefanikiwa kuzifahamu chache tu hasa zile zinafanya simu iwe fasta au nzito zile za windows animation scale , transtion na Animator nk, usb debug na vitu vidogo vidogo ila najua humu.

Kuna magwiji humu wa hizo settings naomba leo tusiwe wachoyo tumwage mambo yote hadharani yaani kila settings unayoijua ww ikifanywa kweny simu inakuwa tanu weka hapa ili watu wasett kwa simu zao na wa enjoy simu, maana ndo dhumunin la wengi mpaka kununua simu za gharama la sivo tungenunua tu za tochi... Karibuni wote kwa michango yenu.. Aksanteni.. View attachment 1223920View attachment 1223921View attachment 1223922View attachment 1223923View attachment 1223924
Simu nyingi za Android, hii option ya Developer option imekuwa deactivated na hidden, ili kuiactivate unabidi uingie Settings>About device>Software info>Build number. Kwenye hiyo build number, unabidi uiclick kama mara 7 hivi mfululizo then baada ya hapo itakuwa available kwenye simu yako.
Then utaifungua hapo kwenye settings then utaienable.
 
Attachments

  • Screenshot_20191005-095519.png
    Screenshot_20191005-095519.png
    25.3 KB · Views: 23
Simu nyingi za Android, hii option ya Developer option imekuwa deactivated na hidden, ili kuiactivate unabidi uingie Settings>About device>Software info>Build number. Kwenye hiyo build number, unabidi uiclick kama mara 3 hivi mfululizo then baada ya hapo itakuwa available kwenye simu yako.
Then utaifungua hapo kwenye settings then utaienable.
Faida zake kuu ni kuweza kulink simu yako na pc endapo utakuwa umeiconnect kwaajili ya file transfer pamoja na manjonjo mengine mengi.
 
Habari za wakati huu wandugu, sina shaka mko poa kabisaa eebana leo naomba tusaidiane na kuelekezana setting mhimu na za lazima kweny simu zetu hasa hasa kweny upande wa setting za siri zilizofichwa kwenye DEVELOPER OPTIONS, najua na nina uhakika hiki kitu au jila DEVELOPER OPTIONS sio kigeni kukiskia hasa kwa ww unaetumia smartphone...

Kwann ziitwe settings za sili zilizofichwa!!je ni kweli kuna settings ukizifanya simu yako unakuwa tamu, kali na kasi au slowly kweny kufungua mafile na internet pia na muonekano wa picha na video !!??

Mimi huwa natamani sana nizijue angalau settings zote za mhimu kweny huu upande japo nmefanikiwa kuzifahamu chache tu hasa zile zinafanya simu iwe fasta au nzito zile za windows animation scale , transtion na Animator nk, usb debug na vitu vidogo vidogo ila najua humu.

Kuna magwiji humu wa hizo settings naomba leo tusiwe wachoyo tumwage mambo yote hadharani yaani kila settings unayoijua ww ikifanywa kweny simu inakuwa tanu weka hapa ili watu wasett kwa simu zao na wa enjoy simu, maana ndo dhumunin la wengi mpaka kununua simu za gharama la sivo tungenunua tu za tochi... Karibuni wote kwa michango yenu.. Aksanteni.. View attachment 1223920View attachment 1223921View attachment 1223922View attachment 1223923View attachment 1223924
Smallest width au minimum width.... kama unataka kukuza au kupunguza each and everything kiachoonekana kwenye screen yako.

Ila inafanya kazi vzr kama umeroot simu. Ukiwa hujaroot ukirestart tu simu setting inajirudisha kwenye default.
 
Simu nyingi za Android, hii option ya Developer option imekuwa deactivated na hidden, ili kuiactivate unabidi uingie Settings>About device>Software info>Build number. Kwenye hiyo build number, unabidi uiclick kama mara 3 hivi mfululizo then baada ya hapo itakuwa available kwenye simu yako.
Then utaifungua hapo kwenye settings then utaienable.
Sio uclick mara saba mkuu? Au simu za siku hizi wamebadilisha?
 
Simu nyingi za Android, hii option ya Developer option imekuwa deactivated na hidden, ili kuiactivate unabidi uingie Settings>About device>Software info>Build number. Kwenye hiyo build number, unabidi uiclick kama mara 3 hivi mfululizo then baada ya hapo itakuwa available kwenye simu yako.
Then utaifungua hapo kwenye settings then utaienable.
Ili kupata DEVELOPER OPTIONS unabonyeza Kwenye build number mara 7
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom