Tujuzane mipangilio(setting) mhimu kwenye simu zetu, hasa developer options

Tujuzane mipangilio(setting) mhimu kwenye simu zetu, hasa developer options

Wakuu natumia samsung j4+ inaandika UI has stopped working
Naomba kujua maana yake nini na kwann simu ina crash sana
Una tatizo hili mkuu,pole sana.Nakuja na nondo ya kukuokoa soon.
Screenshot_20191005_140509_com.microsoft.emmx.jpeg
 
Lakini kwa nini uhangaike na simu zenye storage ndogo? wakati kuna simu nyingi zina storage 32,64,128 GB na zinauzwa kwa bei poa kabisa.

Kwa mfano unaweza kupata kitu kina 32gb(Sizungumziu TECNO,ITEL,and something like that) kwa laki 350000 tu,au 64 GB kwa laki 4 tu au 450000 tu,na 128 kuanzia laki 5 na kuendelea.
Duuh!! Haya Maisha sio mchezo aiseh wakat mm nawaza buku kuna watu wanasema laki tano ni ela ndogo tu
 
Lakini kwa nini uhangaike na simu zenye storage ndogo? wakati kuna simu nyingi zina storage 32,64,128 GB na zinauzwa kwa bei poa kabisa.

Kwa mfano unaweza kupata kitu kina 32gb(Sizungumziu TECNO,ITEL,and something like that) kwa laki 350000 tu,au 64 GB kwa laki 4 tu au 450000 tu,na 128 kuanzia laki 5 na kuendelea.
wapi huko mkuu??sana sana ni kupigwa tu.
 
Mwanza Kuna sehemu karibu na kituo cha dala dala cha Central, kuna sehemu wanauza used phones kutoka China tena zipo clean.
Mimi nipo Nyamagana nipe location na bei zipoje tusije kushikishwa tuu.
 
Maoni wadau kwanini lisifunguliwe group la WhatsApp kuhusu Setting mbalimbali za Simu tutumiazo
 
Back
Top Bottom