Tujuzane mipangilio(setting) mhimu kwenye simu zetu, hasa developer options

Ok iko poa sana endelea kutugawia madini hayo jmn
DEBUGGINGKwenye USB DEBUGGING ukiweka ON, hiyo inamaanisha unaweza ku install APP yoyote kwenye simu yako kwa kutumia Computer ya Windows au Apple kwa USB CABLE.Hiyo imeweka kwa kuwa Kuna baadhi ya APPS ili uwe nazo inakubidi utumie PC.

Na ukitaka ku ROOT smartphone pia kwa kutumia APPS za PC,na pia Ku CRACK PASSWORDS.
 
Kuifanya simu yako iwe na kasi ya ajabu na nyepesi hakuna njia nyingine zaidi ya kupunguza mavitu ndani ya simu kwenye storage ni kufuta tu
 
Kasi gani mkuu ya net au ya kufungua. Mafail
Kuifanya simu yako iwe na kasi ya ajabu na nyepesi hakuna njia nyingine zaidi ya kupunguza mavitu ndani ya simu kwenye storage ni kufuta tu
 
Kuifanya simu yako iwe na kasi ya ajabu na nyepesi hakuna njia nyingine zaidi ya kupunguza mavitu ndani ya simu kwenye storage ni kufuta tu
Lakini kwa nini uhangaike na simu zenye storage ndogo? wakati kuna simu nyingi zina storage 32,64,128 GB na zinauzwa kwa bei poa kabisa.

Kwa mfano unaweza kupata kitu kina 32gb(Sizungumziu TECNO,ITEL,and something like that) kwa laki 350000 tu,au 64 GB kwa laki 4 tu au 450000 tu,na 128 kuanzia laki 5 na kuendelea.
 
Wakuu natumia samsung j4+ inaandika UI has stopped working
Naomba kujua maana yake nini na kwann simu ina crash sana
 
Nielekeze , shemeji yako anahangaika daily kuiconect redmi7a yake na desktop au pc
Baada ya kufuata hizo process nilizozitaja, ingia settings>developer option>enable usb debugging.
 
Attachments

  • Screenshot_20191005-140051.png
    Screenshot_20191005-140051.png
    27.9 KB · Views: 10
Hiyo pesa unasema ni ndogo inaweza ikawa kubwa kwa mwingine we kama unafahamu muelekeze kiongoz wangu

Back
Top Bottom