Unafahamu jinsi ya kuongeza kasi simu yako (speed)?

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
763
Kuna wakati simu zetu za smartphone zinakua slow pole pole kwa wakati Fulani mpaka upelekea kuwa na hasira na simu yako japo umenunua mwenyewe ukulazimishwa . Pole ndo ukubwa huo lakini ila usijali Tena kuhusu hilo.

Ila matatizo kama hayo ya simu kuwa slows utakea miezi michache mbeleni Baada ya kununua hiyo simu unaona ufanisi wake umepungua hasa Kasi umepungua Sana unaweza ukawa ukajionea kama vile wakat unataka kurudi home button au kubadili program au kuingia kwenye programu inathibitisha kuiona ikoo slow kuliko awali.

Wazungu wanasema thing don't have to be this way however ( Mambo SIO mpaka yawe hivyo ). Sasa leo nakuonyesha njia rahisi za kufanya KUONGEZA Kasi ya simu yako kufanya kazi.

Uninstall or disabled unused apps (Futa au simamisha app ambazo uzitumi)
Kama simu yako Ina kiwango kidogo Cha kuhifadhi taarifa na matukio yako basi nakushauri punguza program ambazo uzitumi kwenye simu yako. Ikiwa umejaza simu yako picha muziki au program unashauri kuaacha space kwenye kifaa chako either kwa kuziondoa app muziki picha na video ambazo ziko tu na kuweza kuzihifadhi Katika sehemj kama vile #Dropbox na #Google drive kwa ajili ya kufanya simu kuwa na speed.

Kuondoa programu unaweza kufanya kwa kwenda kwenye setting fungua apps menu Kisha chagua app ambazo unataka kuziondoa . Programu zilizo pakuliwa ambazo zimekuja na simu na uwezi kuziondoa ambazo ujulikana kama bloatware, angalau unaweza kuzificha kwa ku force stop na kuzi disabled kwenye simu yako ili kuipa nguvu simu yako.

Kwenye simu za smartphone na tablet ambazo huweza kuwepo na sehem ambayo kuhifadhi kupanuks unaweza kuziweka program muziki picha video na nk kwenye MicroSd au external device storage ili kuweza kufanya hivyo ingia setting Kisha nenda kwenye apps menu na ubonyeze app unayoitaka kuipeleka sd card kwa kubonyeza move to sd card option.

Clear app cache
Hili suala nimeshawah kuongelea kwenye page ya Bongo Tutorials ila ngoja Leo nigusie Tena data au taarifa kutoka kwenye application zilizohifadhiwa zinaweza kuwepo kwa muda kwenye simu yako na kuweza kuathiri utendaji wa kifaa chako.

Kufuta cache za program ya simu yako unaweza kufanya mwenyewe kwa kuingia setting na kufuta lakini Soko la Google Play store wameweza kuturahisishia kwa kutuwekea program za kufanya speed ya simu yako kwa kuweza ku clear cache data za programu mbalimbali kwenye simu.

Baadhi ya program maarufu kama vile cache cleaner na Master clean or clean master ambazo zote zinapatikana bure #Play store

Limit widgets and live wallpaper
Watu wengi waweza kusema kuwa widgets ni moja ya faida za kutumia simu za Android. Unaweza kukusaidia kuweza kupata taarifa haraka bila kufungua program, lakini wakati huo huo pia huwa inakula sana maisha ya betri na kupunguza kasi pole pole ya kifaa chako

Kupunguza idadi ya widgets (vilivyoandikwa) haswa vyenye data kubwa kama vile Facebook itasaidia smartphone yako au tablet kufanya kazi faster vizuri zaidi na kudumu muda mrefu. Unaweza kuondoa widgets kutoka kwenye home screen kwa kubonyeza kwa muda mrefu kitu unachotaja kukifuta na kuki drag kukipeleka juu kabisa ya screen yako.

Kipengele kingine Cha muonekano wa Android ni live wallpaper. Kama widgets , live wallpaper hupunguza Kasi au speed ya simu yako na kufa kwa betri (drain bettery). Unaweza pia kubadilisha wallpaper kwa long press on the home screen.

Disable animation
Kuchagua mipangilio iliyofichwa kwenye Android itakupa ufikiaji wa urahisi wa command ambazo ukuwah kujua zilipo. Nenda setting> about phone Kisha shuka mpaka chini kwenye Build number na uguse hapo Mara Sana. Sasa utaweza kuipata Developer Option. Mipangilio hii maalumu hukuruhusu kufanya Mambo variety things nyeti Sana. Lakini huwalenga Sana watumiaji wa hali ya juu ambao wanajua Nini wanachofanya.

One tweak unaweza kukusaidia kifaa chako kuongezeka speed ni kwa disabling animation zilizokuwepo ndani ya Operating system.kufanya hivi ingia setting nenda developer option Kisha shusha chini mpaka kwenye drawing option.

Kinachofuata ni Kuzima window animation scale. Hii ita simamisha animation ambazo utokea pale unapo fungua kufunga na kubadili kati ya program. Ingawa interface itaonekana kuwa less kidogo but should be less lag in performance.

Get software update
Watengenezaji na wabebaj wanaendelea kusukuma matoleo mapya ya program kwa kifaa chako. Hivyo no muhimu uwe kwenye firmware latest ambazo zilizokua updated Kwan kawaida zinajumuisha usalama na kuboresha marekebisho ya ziada kwenye hixo program. Kutakujua kama Kuna new update available kwenye simu yako ingia setting Kisha chagua about phone na uchague system update option.

Rooting Roming and More
Watumiaji hatari ambao watumiaji wa hali ya juu ambao wanaweza ku root device zao, ambazo uweza kufungua milango ya new feature na hata kuongeza performance ya utendaji. Roots inakupa uwezo wa kuzidisha usindikaji wa kifaa (overclock the device processor) ku install Custom Ron na vitu vingine, walakini pia inasababisha kukosa warranty na unaweza kusababishs uharibifu usioweza kubadilika kwa kifaa (could cause irreversible damage to the device)

JE, WEWE UNATUMIA NINI KUONGEZA KASI YA SIMU YAKO EBU TUACHIE COMMENTS NA SISI TUFAHAMU

#SHARE #LIKES. & #COMMENTS
images%20(42).jpg
 
Back
Top Bottom